Kwa kawaida kinga ya mwili ndiyo kila kitu kinachouendesha mwili hasa katika kuulinda usishambuliwe na magonjwa ya aina mbalimbali. Mara zote kinga ya mwili inapokuwa juu basi siyo rahisi mtu kuugua hasa magonjwa madogo madogo na hata makubwa pia. JE, NITAJUAJE KAMA KINGA YA MWILI WANGU IMESHUKA? Watu wengi huwa wamekariri kuwa mtu ambaye kinga ya mwili wake imeshuka ni mgonjwa wa muathirika Ukimwi, Hii dhana siyo ya kweli kabisa, sasa leo kupitia makala hii utajua mtu ambaye kinga yake ya mwili imeshuka anakuwaje. Kwa kifupi ni watu wengi sana ambao kinga yao ya mwili imeshuka ila hawajitambui lakini wanaishia kulalamika kuwa wanaumwa matatizo mbalimbali. Sasa ukiwa na matatizo au dalili zifuatazo basi tambua kabisa kuwa kinga yako ya mwili imeshuka na unaweza kuchukua tahadhari mapema. 1. Ukiwa unaugua mara kwa mara hata kama ni mafua au homa yoyote basi jua kuwa kinga yako ya mwili ipo chini. 2. Mwili kuwa na uchovu au kujisikia kuchoka mara kwa mara 3.
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake