Lishe ni moja ya nguzo kubwa kwenye afya ya mtu, na ndio maana unatakiwa uanze kutazama kwa jicho la karibu, kama ulikuwa unajali zaidi kazi huku ukibugia vyakula vibovu naviita junk foods, bila kutambua madhara makubwa ya kiafya yanayoletekezwa na vyakula huku ukijikuta unatumia pesa zote ulizotolea jasho kuhudhuria matibabu, basi anza kugeuka ssasa, uweze kutumia pesa kidogo kununua chakula bora na uepushe magonjwa mengi kama kisukari, saratani na magonjwa ya moyo. Unachokula si tu kinafanya mwili unawiri na kuongeza nguvu pia kinaongeza ufanisi wa mwili katika kufanya shughuli zake kama usagaji wa chakula na usafirishaji wa chakula na takamwili. Kama ulaji wako ni mbovu unaotegemea vyakula vilivyosindikwa na fast foods, ambavyo si tu vinakosa baadhi ya virutubisho muhimu bali pia vinakuja na sumu nyingi zikiwemo vionjo viongeza utamu (artificial sweeters) zitakazorudisha nyuma afya ya mwili wako. Kinyume kabisa na vyakula asili ambavyo vitakupa vitamin za kutosha, madini, kukufan
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake