Heri ya mwaka mpya 2017. Je umeshaweka mipango yako ya mwaka huu?? Watu wengi wameshafanya hivo lakini pia asilimia kubwa wanawahi kukata tamaa na kupunguza juhudi kuelekea kutimiza malengo yao ifikapo mwezi wa 2 ama wa 3. Nashauri mwaka huu jikite katika kulinda fya yako kwa kubadili mtindo mbovu wa maisha na baadhi ya tabia hatarishi. Kubadili mtindo wa maisha ni suala endelevu na siyo kitu cha kutimiza siku moja au week chache . MIKAKATI 7 YA KIAFYA UNAYOTAKIWA KUTEKELEZA 2017 1. ACHA KUNYWA SODA NA VINJWAJI VILIVOSINDIKWA Hii ni kwa sababu soda ina uhusiano na matatizo kama uzito mkubwa, magonjwa ya moyo, magonjwa ini, na pia matatizo yamifupa, kama bado unatumia soda mara kwa mara basi badilisha kwa kutumia maji, kahawa na juisi ambayo umetengeneza mwenyewe nyumbani. 2. KULA PARACHICHI KILA SIKU Parachichi ni tunda linalopatikana kirahisi na ni chanzo cha mafuta mazuri ambayo mwili huweza kuunguza kiurahisi ili kutoa nishati, tafiti zinasema kwamba
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake