Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2017

ANGINA PECTORIS NI NINI??

Haya ni maumivu ambayo huyapata kifuani na kukunyima amani kutokana na misuli ya moyo kukosa kiasi cha damu yenye oxygen. Kwa kawaida huu sio ugonjwa bali ni dalili ya magonjwa ya coronary heart diseases. DALILI ZA MTU MWENYE ANGINA PECTORIS Dalili ya kwanza ya mtu mwenye tatizo la moyo{coronary heart disease} ni angina pectori. Maumivu ya kifua kuanzia katikati kuelekea mkono wa kushoto, maumivu ya shingo na hatimaye kwenye taya bila kusahau mgongo, dalili nyingine ni kichefuchefu, kutapika, moyo kwenda mbio sana kuvuja jasho kwa wingi baada ya mwendo kasi wa moyo. AINA ZA ANGINA PECTORIS Stable angina pectoris: aina hii ndio ujitokeza mara nyingi zaidi ya zingine. Hali huwa mbaya tu unapokuwa unafanya kazi au mazoezi au kitu chochote kinachoweza sababisha moyo kufanya kazi kwa nguvu. Hali hutulia au kurudi katika hali ya kawaida unapopumzika. haina maana kwamba kuna shambulio la moyo bali ni taarifa kuwa wakati wowote hali inaweza kuwa mbaya. Unstable angina: hali hii ha