Njia ya mkojo ni eneo linalojumuisha eneo la nje la utupu
hadi katika kibofu cha mkojo mpaka katika figo.
U.T.I ni maambukizi
katika njia ya mkojo yanayosababishwa na bacteria waitwao Escherichia coli (
E.coli) mara nyingi bacteria hawa
hupatikana katika utumbo mpana au katika haja kubwa (Gastro intestinal tract
GI) na bacteria wengine kama staphylococcus,saprophyticus, enterobacter n.k
wakifanikiwa kuingia, kusambaa, kuushambulia na kuuathiri mfumo wa mkojo. Pia
U.T.I huweza kusababishwa na magonjwa ya zinaa kama herpes,gonorrhea,chlamydia
n.k
Kutokana na kuwa urethra ya wanawake (njia ya mkojo) kuwa
karibu na njia ya haja kubwa wanawake
huathirika au hupatawa na U.T.I zaidi Kuliko wanaume, makundi mengine ambayo
wako katika Atari ya kuambukizwa ugonjwa huu ni watoto wadogo na wanaume wasio
tahiriwa.
AINA ZA U.T.I
Aina hizi za U.T.I
hutegemea ni katika eneo gani
katika njia ya mkojo iliyo athiriwa hivyo kuna ;
~MAAMBUKIZI KATIKA KIBOFU CHA MKOJO(CYSTITIS)/ INFECTION OF
THE BLADDER
~ MAAMBUKIZI KATIKA URETHRA (AU NJIA YA MKOJO KUTOKA KATIKA
KIBOFU MPAKA NJE YA ENEO LA UTUPU KUPITIA UKE AU UUME)
VISABABISHI VYA KUUGUA UTI
Kuna vitu au mazingira mbali mbali yanayoweza sababisha mtu
kupatwa na ugon
jwa wa U.T.I kama ifuatavyo;
1.Kufanya mapenzi hasa
bila kinga hii nikwasababu wakati wa tendo la ndoa bacteria ni rahisi
sana kusambaa ktk urethra
2. Kubana mkojo yani kutokwenda haja wakati umebanwa na
mkojo kwa muda mrefu ambapo husababisha misuli ya kibofu kupunguza uwezo wake
na hivyo nirahusi kuambukizwa U.T.I
3.Upungufu wa hormoni za oestrogens kwa wanawake,
husababisha bacteria kuzaliana kwa urahisi
4.Ujauzito na ukomo wa hedhi
5.kisukari
6.Kutokunywa maji mengi ya kutosha
7.uchafu(vyoo, nguo za ndani,kuingiza vidole vichafu)
8.matumizi ya dawa za antibacteria kwa muda mrefu.
9. Matumizi ya vitu vya kemikali ukeni (pads,sabuni,manukato
n.k)
10.maambukizi katika via vya uzazi( uke na vulva)
DALILI ZA UGONJWA WA
U.T.I
1.Maumivu makali au kuwaka moto wakati wa kukojoa
2.Kukojoa mkojo kidogo sana na wakati mwingine ukiwa
umechanganyika na damu
3.kubanwa sana ghafla na mkojo
4.maumivu ya Mgongo,Tumbo la chini na katika nyonga
5.kuchoka ovyo,kukosa hamu ya kula na kukosa hamu ya kufanya
mapenzi
6.Kukojoa mara kwa Mara kama mara sita au zaidi kwa siku
7.kukojoa mkojo wenye harufu mbaya
8.Matatizo ya figo endapo vijidudu vitasambaa mpaka kwenye
figo na kusababisha; homa,kichefuchefu,kutapika n.k
NAMNA YA KUJIKINGA ILI USIPATE UTI MARA KWA MARA
[i] kunywa maji mengi, kiasi cha lita 3 kwa siku, maji
husaidia kuflashi bacteria mara kwa mara ambao wanakuwa wamesalia katika njia
ya mkojo hvyo kuepusha maambukizi.
[ii] kwa wanawake haikisha unaenda haja ndogo baada ya tendo
la ndoa, ili kuodoa bacteria kwenye njia ya mkojo na kupunguza kasi ya kusambaa
kwa bacteria.
[iii] kwa wanawake pia hakikisha unapotumia tissue ama wipes
baada ya kwenda haja unajifuta kutoka mbele kwenda nyuma(front to back wiping)
ili kuzuia kuhamisha bacteria kutoka kwenye njia ya haja kubwa kwenda kwenye
njia ya mkojo.
[iv] Pia epuka matumizi ya maji kwenye vyoo vya umma ama
jumuiya.
MATIBABU
Matibabu yapo na watu hupona ninakushauri upate vipimo na
ushauri wa madakitari au na washauri wa afya kabla haujapata tiba.
1.Mara nyingi tiba za mahospitali huwa hazimalizi tatzo
kutokana na kwamba hazitibu chanzo cha tatzo, hvo hupelekea watu wengine tatzo
kuwa sugu na kujirudiarudia baada ya mda mfupi.
Tatzo hili huweza kumalizwa vzuri kama mgonjwa akitumia tiba
ya mimea na matunda ambayo imetengenezwa kwa technologia rafiki.
Dawa ya Garlic oil Capsule
Kazi na faida ya Garlic oil capsule kwa Mgonjwa wa UTI
- Kupambana na bacteria wabaya na fangus kwenye mwili na
- Kuimarisha Afya ya mwili kwa kuimarisha kinga.
- Yafaa zaidi kutumiwa na wenye magonjwa kama UTI,TB, PID, fangasi na pneumonia
Tupige kwa namba
0714206306
huduma ya dawa zetu za asili
Tiba ni Tsh 75,000/=
Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa whatsapp
Kumbuka kushare makala hii ili watu waelimike zaidi.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA