MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU TATIZO LA FANGASI UKENI
Habari za leo ndugu msomaji wa page hii,kutokana na kupokea maoni na maswali yenu leo nimependa kuzungumzia ugonjwa wa fangasi ukeni ambao ni common hususani kwa wanawake,
maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75%ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili
maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana kama YEAST INFECTIONS /THRUSH
CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia Chakula (PHARYNX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke pia.
~bacteria Hawa huishi katika sehemu hizo Bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, MFANO mabadiliko katika Hali ya PH tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0_4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali kama vile MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS kama AMPICILLINE, CIPROFLAXINE, AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK pia kupungua kwa Kinga kutokana na magonjwa mbalmbali .
~maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk
VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
·
Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha
mabadiliko katika sehemu za siri
·
magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid
cancer)
·
wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata
maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale
ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na
vitu wanavyotumia
·
upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani,
kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
·
matumizi ya vidonge vya majira
·
msongo wa mawazo
·
kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana
kupitia haja kubwa (anal sex)
·
matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha
maambukizi pia
·
kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal
replacement therapy)
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri
DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI
UKENI
·
kuwashwa sehem za siri
·
kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial
dysapareunia)
·
kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya
tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
·
kupata vidonda ukeni (soreness
·
kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia
minora
·
kupata maumivu wakati wa kukojoa
·
kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI
au MZITO au majimaji
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini
NOTE :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini
MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya ugonjwa huu wa fangasi hupatikana kwa urahisi Tanzania na tiba hupatikana na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi na majibu yalivyotoka pamoja na hayo matibabu ya ugonjwa huu hospital sio ya uhakika kwasababu dawa za hospital hazitibu chanzo cha tatizo hivyo ndio maana tatzo hili huwa Linajirudia baada ya muda fulani, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujiknga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI
·
Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au
hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear.
·
epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi
haya
·
kula mlo wenye virutubsho muhimu
·
epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya
uvuguvugu
·
osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa
kutumia taulo au kitambaa Safi
·
epuka mavazi yote ya kubana ukeni.
·
kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara
yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
·
epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia
mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi
ukeni
·
epuka kutumia sabuni za kemikali/dawa kuoshea ukeni.
NOTED :NDUGU MSOMAJI KAMA UNA MAONI/USHAURI NA UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI WASILIANA NASI KUPATA HUDUMA YA MATIBABU NA USHAURI ZAIDI.
NOTED :NDUGU MSOMAJI KAMA UNA MAONI/USHAURI NA UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI WASILIANA NASI KUPATA HUDUMA YA MATIBABU NA USHAURI ZAIDI.
·
karibu ofisini hapa Magomeni Mwembechai, upate huduma ya dawa asili ya Garlic oil
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA