Kwa kawaida mtumzima anatakiwa kulala masaa7-8 kwa usiku
mzima. Lakini kunawatu hushindwa kulala kabisa au hulala kwa masaa machache
sana kutokana na sababu mbalimbali.
KUKOSA USINGIZI(INSOMNIA) ni tatizo la kukosa usingizi
japokuwa unafursa ya kuweza kulala,tatizo hili linaweza kuwa nilamuda mfupi au
nila muda mrefu yani tatizo sugu ambapo mtu hushindwa kulala au kupata usingizi
mzuri kw a miezi sita(6)au zaidi. Tatizo hili husababishwa na mambo mbalimbali
lakini zaidi nitazungumzia jinsi tatizo hili linayosababisha kwa kuwa na UPUNGUFU WA MELATONIN HORMONE.
Melatonini hormone ni vichocheo vinavyo tengenezwa au
kutolewa na pineal gland, homoni hizi husaidia kuucontrol mzunguko wetu wa
kawaida wa kulala na kuamka, hurekebisha saa ya mwili(biological clock) hivyo
ukiwa na hormone hizi za kutosha utaweza kulala usingizi mzuri wala hautachukua
muda mrefu sana kitandani pasipo kupata usingizi kama hauna shughuli maalumu ya
kufanya.
Melatonini hormone
hupunguzwa uzalishwazi wake kwa asilimia 10%- 15% kila baada mtu
akifikia umri wa miaka 35 na kuendelea.
SABABU ZINGINE ZINAZOSABABISHA KUKOSA USINGIZI
sababu ziko nyingi sana zikiwemo;
~Magonjwa hapa ni magonjwa mbalimbali kama Miguu kuwaka
moto,pumu,shinikizo la damu,matatizo ya moyo,kipanda uso na kuwashwa au mzio.
~Baadhi ya matibabu hii inahusisha matumizi ya baadhi ya
dawa Kali zenye kemikali
~Upungufu wa hormone za kijinsia estrogen
~Msongo wa mawazo
~Ugomvi na kelele
~Mazingira
~Kuishi au kufanya kazi za usiku katika mazingira yenye mwanga kwa muda mrefu
hii huathiri sana.
ATHARI ZA KUKOSA USINGIZI
~Uchovu wa mwili au kuhisi mwili hauna nguvu.
~ kuwa na hasira au mkali bila sababu za msingi.
~Maamuzi mabovu
~Kupoteza kumbukumbu au kusahau sahau.
~kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi
~Kupatwa na magonjwa ya shinikizo la damu au kisukari n.k
MATIBABU
~Badili mfumo wako wa maisha hapa ni katika ulaji wa vyakula
pendelea kula zaidi vitu asilia kama mboga za majani na matunda na punguza
vyakula au vinywaji vyenye caffein.
~Kunywa maji kwa wingi
~Tumia Asali mbichi vijiko viwili usiku
~ weka mazingira mazuri ya mtu kulala
Kwa miaka ya hivi karibuni mafuta ya Eucalyptus yamekuwa ni kitu adimu na cha kuaminika zaidi kutokana na uwezo wake kukukinga dhidi ya matatizo ya neva.
Matumizi: kupunguza msongo wa mawazo na kutengeneza usingizi mzuri. Weka mafuta ya Eucalyptus kwenye kopo la kupuliza (diffuser) kisha pulizia kwenye chumba cha kulala. Unaweza kupuliza jioni katika eneo la kupumzika kabla ya kwenda kitandani, pia unaweza kupaka kwenye ngozi nyuma ya masikio, kwenye pua na kwenye mto wako wa kulalia.
Mafuta haya asili (natural) yasiyo na kemikali yanapatikana Ofsini kwetua gharama ya Tsh 20,000/=
Bofya hapa Kuchati na Muhudumu Whatsapp uagize Mafuta ya Eucalyptus
au Piga simu namba 0746672914
Hakikisha tu una utayari maana watu wengi wamekiwa wakifurahia huduma zetu wakitupa shukurani nyingi kutokana na kwamba dawa zimeweza kuwatoa kwenye jela ya maradhi yaliyowatesa kwa mda mrefu.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA