Maelezo ya utangulizi
Mwili wako ni mfano wa silinda kubwa ambayo ndani yake kuna tube inayoanzia mdomoni mpaka chini kwenye puru pale unakotolea uchafu, silinda hii ndio mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Hivyo mfumo wa chakula upo ndani ya mwili na umesheheni kemikali mbalimbali ambazo husaidia usagaji na uchkataji wa chakula ili kupata virutubisho vinavyohitajika na mwili. Mfumo wa chakula unachangia karibu asilimia 80 ya utimamu wa afya yako . usagaji wa chakula huanzia mdomoni pale unapotafuna chakula na kikachanganyika na mate.
Usagaji
na uchakataji wa chakula huishia kwenye utumbo mpana baada ya mwili kufyonza
virutubisho muhimu na maji na kuacha takataka ambazo hazitumiki, virutubusho
ambavyo vinavyonzwa ili kutoa energy ambazo ndio tunaita kalori. Kalori kiasi
gani unakula na pia ubora na chanzo cha kalori ama chakula unachokula ni sababu
za msingi ambazo zinaathiri afya yako aidha chanya au hasi. Sababu nyingine
ambayo inaleta matokeo kwenye afya yako
na hatari ya kupata cho kigumu ni kiasi na aina ya bacteria waliopo katika
mfumo wako wa chakula.
Bacteria hawa wamegawanyika sehemu mbili kuna bacteria wazuri ambao husaidia usagaji wa chakula na bakteria wabaya ambayo ndio chanzo cha matatizo ya tumbo na utumbo, kusababisha aleji, uzito mkubwa na kitambi pamoja na matatizo mengine mengi. Watafiti waligundua kwamba pale ambapo msongo wa mawazo huleta athari katika mfumo wa chakula basi ndivyo pia mfumo wako wa chakula unavoweza kuleta athari katika ubongo ikiwemo kumfanya mtu kuwa na hasira, kwa maneno mengine tunaweza kusema hivi mfumo wako wa umeng ‘enyaji chakula siyo tu unahishwa na matatizo kama kukosa choo/choo kigumu, kuharisha, uzito mkubwa na kitambi ni zaidi ya hapo hata maamuzi yako yantegemea pia vyakula unavyokula.
Bacteria hawa wamegawanyika sehemu mbili kuna bacteria wazuri ambao husaidia usagaji wa chakula na bakteria wabaya ambayo ndio chanzo cha matatizo ya tumbo na utumbo, kusababisha aleji, uzito mkubwa na kitambi pamoja na matatizo mengine mengi. Watafiti waligundua kwamba pale ambapo msongo wa mawazo huleta athari katika mfumo wa chakula basi ndivyo pia mfumo wako wa chakula unavoweza kuleta athari katika ubongo ikiwemo kumfanya mtu kuwa na hasira, kwa maneno mengine tunaweza kusema hivi mfumo wako wa umeng ‘enyaji chakula siyo tu unahishwa na matatizo kama kukosa choo/choo kigumu, kuharisha, uzito mkubwa na kitambi ni zaidi ya hapo hata maamuzi yako yantegemea pia vyakula unavyokula.
MAKUNDI YA WATU WALIOPO KATIKA HATARI YA KUPATA CONSTIPATION NA KWANINI??
Baadhi
ya visababishi vya kukosa choo ama kupata choo kigumu ni kama matumiz ya muda
mrefu ya vidonge mfano vidonge vya kupunguza tindikali tumboni, ufanyaji kazi mdogo wa tezi ya thairodi
(hypothyroidism), magonjwa ya mfumo wa chakula kama irritable bowel
syndrome(IBS), kuchelewa kutoa haja mfano mtu anapojizuia kutumia vyoo vya
umma. Cha kukumbuka ni kwamba moja ya chanzo cha haya yote ni lishe, sanasana
kama lishe yako inategemea zaidi vyakula vilivyosindikwa na vyenye nyuzinyuzi
kidogo. Yafuatayo ni magroup ya watu waliopo katika hatari zaidi ya kupata
constipation
1. WANAWAKE,
zaidi wanawake wenye ujauzito na baada tu ya kujifungua. Uzito wa mtoto
hukandamiza utumbo na hivo kupunguza usafirishaji wa choo kwenye utumbo na hivo
kupelekea maji mengi kufyonzwa. Nb napenda msomaji ufahamu kuwa maji hufyonwa
kwenye utumbo mpana ambako choo kinakaribia kutoka, hivo choo kinavokaa zaidi
bila kutolewa ndivo maji yake hufyonwa zaidi na kukifanya kiwe kigumu kama cha
mbuzi.
2. WAZEE wapo katika hatari zaidi ya kupata
constipation kwa sabau ya kupungua kwa kasi ya kazi za mwili na hvo kupunguza
kasi ya usafirishaji katika mfumo wa chakula.
3. WATU
WENYE KIPATO KIDOGO kutokana na kutokuwa na uwezo wa kununua vyakula salama na
asili visivyosindikwa
4. Waliofanyiwa
upasuajikutokana na kwamba hawafanyi kazi mda mwingi wametulia na hivo
kupelekea kasi ya usafirishaji wa choo pia kupungua.
UHUSIANO KATI YA CONSTIPATION NA AFYA YA MWILI
Kupata
choo kigumu ambako kunapelekea mtu kutumia nguvu nyingi kujikamua ili kutoa
kinyesi kunaweza kukusababishia kupata ugonjwa wa bawasiri ama Hemorrhoids
ambapo ni matokeo ya kutanuka kwa mishipa ya damu, kutanuka kwa mishipa hii ya
damu hupelekea kinyama kuota aidha ndani au nje ya sehemu ya haja kubwa na
kupelekea maumivu makali. Pia constipation ya mda mrefu inaweza kupelekea kulegea kwa via
vya uzazi kwa mwanamke, hii ni kutokana na kwamba sehemu ya uzazi na ile ya
haja kubwa zipo karibu sana, presha inayotengenezwa baada ya kusukuma choo kwa
nguvu basi inaweza kupelekea kulegea kwa mishipa na kuweza kuleta matatizo kama
kurudi kwa mkojo kwenye figo ambayo
inaweza kuleta matatizo ya moja kwa moja ya figo. Hivo unapopata haja basi
usikawie kutoa maana kukaa mda mrefu kutasababisha uchafu mwingi
kukusanyika na hivo ukatumia nguvu nyin
haja gi kusukuma uchafu, ambapo wakati mwingine hii inaweza kuleta shida na
utumbo ukatoka nje ya njia ya haja kubwa.
MTINDO
WA MAISHA UTAKAOKUSAIDIA KUTIBU TATIZO
Kwa
ambaye tatizo limekufikia hatua mbaya basi suluhisho lako ni kubadili mfumo wa
maisha ikiwemo kwenye lishe, hatua ya kwanza na rahisi ni kuhakikisha unakunywa
maji ya kutosha.Pili matumizi ya vyakula vyenye nyuzinyuzi kwa wingi husaidia katika kuleta
shape ya choo na kuepuka choo kigumu,hakikisha kila siku unakula vyakula gramu
30 mpaka 32 vyenye nyuzi nyuzi mfano mboga za majani.
mazoezi
ya mwili husaidia kurahisisha usafiri na utoaji wa takamwili kiurahisi hivo
weka ratiba walau mara 3 kwa week kufanya mazoezi na Nne vyoo vya kukalia ni
hatari kwa afya yako kwani vinakusababishia matumizi makubwa ya nguvu wakati wa
kujisaidia na hivo kupelekea constipation na matatizo mengine kama bawasiri,
tumia vyoo vya kawaida vya kuchuchumaa kama miili yetu ilivoumbwa. Kama tatizo
ni kubwa basi unaweza kutujulisha ukafika ofsini kwetu na ukajipatia dawa za mimea.
Faida na matumizi ya mafuta ya ginseng
1. Kuimarisha uchakataji wa chakula
2. kutibu tatizo la kukosa choo na gesi tumboni na
3. Kusafisha tumbo
Gharama ya mafuta ni Tsh 60,000/=
Mafuta ya Ginseng
1. Kuimarisha uchakataji wa chakula
2. kutibu tatizo la kukosa choo na gesi tumboni na
3. Kusafisha tumbo
Gharama ya mafuta ni Tsh 60,000/=
Tupigie kwa namba 0762336530 au
Bofya hapa Kuchati na muhudumu kwa Whatsapp
ambapo tutakupatia dawa na kirutubisho pamoja na ushauri wa kitaalamu juu ya tatizo lolote la mfumo wa chakula.
Kama upo mkoani basi usihofu maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo
Ofisi zetu zipo Magomeni Mwembechai.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA