MAELEZO YA UTANGULIZI
Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level).Kabla damu haijapita katika figo, huwa imebeba maji na taka taka nyingi sana (urea) ,lakini inapopita katika figo huchujwa na vitu muhimu hurudishwa katika mzunguko wa damu lakini,masalia mengine ambayo hayafai tena katika mwili ikiwani pamoja na kiwango cha maji kilichozidi hupitishwa kwenye mirija miwili (ureters)kuelekea kwenye kibofu ( urinary bladder) nakisha kutolewa nje ya mwili kupitia njia ya mkojo (urethra)
Mkusanyiko wa kemikali hizi (chemical crystals), wakati mwingine hugandamana na kutengeneza chembechembe ya vitu kama mchanga,kadri siku zinavyozidi kuendelea ndivyo vinavyozidi kukua hadiwengine hufikia hatua ya kuziba njia ya mkojo katika figo yenyewe (neprone) au kwenye mirija yakupeleka mkojo kutoka kwenye figo kwenda kwenye kibofu (ureteter), hapo ndipo mtu anaanza kupata shida ya kukojoa na kusikia maumivu makali.
DALILI ZA UWEPO WA MAWE KWENYE FIGO
Mtu mwenye mawe kwenye figo huonyesha dalili zifuatazo;- Maumivu ya mgongo na kiuno
- Mkojo kutoka ukiwa na rangi ya damu
- Kutokwa na jasho wakati wa usik
- Kupatwa na homa kali kwa wakati flani ikiambatana na kutetemeka mwili
- Kuhisi kichefuchefu na kutapika
- Mkojo kuwa na harufu kali
- Maumivu makali sehemu za mbavu
- Miguu kujaa maji/kuvimba.
- Maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kushoto au kulia kutegemea ni figo ya upande gani iliyoathirika.
- Maumivu makali unapogusa upande wa figo iliyoathirika.
KISABABISHI CHA MAWE KATIKA FIGO (KIDNEY STONES);
1.Matumizi ya baadhi ya dawa husababisha mtu kupata mawe katika figo pindi anapozitumia kila mara.2.Utumiaji wa vyakula vyenye kuongeza vitamin A na D, ambavyo huongeza kwa kiasi kikubwa madini joto mwilini
3.Kuishi kwenye mazingira ya joto sana bilakupata maji ya kutosha husababisha kiasi cha chemical kuongezeka katika figo na kusababisha zigandamane na kutengenezamawe ndani ya figo.
4.Maambukizi ya magonjwa ya figo kama renal tubulaacidocisctc, huongeza hatari ya kupata tatizo hilo.
5.Kurithi kutoka kwawazazi (wanakuwa na homoni ziitwazo antiduretic hormone)zisizoweza kufanya kazi yakuchuja damu kikamilifu na mwishowe hutengeneza mawekatika figo.
6.Utumiaji wa vyakula vyenye protinkwa wingi zinazotokana na wanyama na chumvi nyingi (huongeza hatari ya kupata tatizo hili)
7.Unene kupita kiasi
VIPIMO VYA KUGUNDUA UWEPO WA MAWE KWENYE FIGO
1.Mgonjwa kufanyiwa X-Ray au scan
2.Vipimo vya damu (blood test)
3.Vipimo vya mkojo (urenarlulisis)
Tiba za tatizo hili la figo huwa ni gharama sana kiasi kwamba watu wengi wanshindwa kuzimudu.
Dawa zilizotengenezwa na mimea na zenye ubora mkubwa basi zina uwezo wa kutibu tatizo hili vizuri endapo utaliwahi mapema.
Baadhi ya dawa hizi ambazo hupatikana ofisini kwetu ni
a. TONIFYING
b.KODICEPS
c. CHITOSA
Dawa hizi mbali na kutibu matatizo ya mawe katika figo zinauwezo wa;
1. kutibu saratani ya kizazi stage ya kwanza ,kusafisha mirija ya uzazi na kutoa maji katika mirija hiyo
2.Uvimbe ndani ya mwili
3.Kurekebisha hedhi iliyovurugika kwa akina mama (hasa waliowahi kutumia dawa za uzazi wa mpango)
4.Saratani ya ini na kibofu cha mkojo
5.Kusafisha mfumo mzima wa njia ya mkojo
6.Huwasaidia akina mama wenye kasoro mbalimbali katika via vyauzazi.
2.Vipimo vya damu (blood test)
3.Vipimo vya mkojo (urenarlulisis)
Tiba za tatizo hili la figo huwa ni gharama sana kiasi kwamba watu wengi wanshindwa kuzimudu.
Dawa zilizotengenezwa na mimea na zenye ubora mkubwa basi zina uwezo wa kutibu tatizo hili vizuri endapo utaliwahi mapema.
Baadhi ya dawa hizi ambazo hupatikana ofisini kwetu ni
a. TONIFYING
b.KODICEPS
c. CHITOSA
Dawa hizi mbali na kutibu matatizo ya mawe katika figo zinauwezo wa;
1. kutibu saratani ya kizazi stage ya kwanza ,kusafisha mirija ya uzazi na kutoa maji katika mirija hiyo
2.Uvimbe ndani ya mwili
3.Kurekebisha hedhi iliyovurugika kwa akina mama (hasa waliowahi kutumia dawa za uzazi wa mpango)
4.Saratani ya ini na kibofu cha mkojo
5.Kusafisha mfumo mzima wa njia ya mkojo
6.Huwasaidia akina mama wenye kasoro mbalimbali katika via vyauzazi.
Kirutubisho cha Kidney Tonifying
Kazi na Faida ya Kidney Tonfying (women & men)
- Kuimarisha uwezo wa figo katika kuchuja
- Kuondoa sumu na mawe vilivyojikusanya kwenye figo
- Kuongeza ubora na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke na mwanaume na
- Kutibu magonjwa mbalimbali ya figo.
Dawa hii ni Tsh 150,000/=
Karibu ufike ofsini kupata dawa yako usafishe figo
Tupigie kupitia namba
0714206306
Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa Whatsapp
kama upo mkoani basi ondoa shaka maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA