GREEN ORGANIC PLUS FERTILIZER
Hii ni mbolea isiyo na
kemikali hatakidogo, ni mbolea iliyotokana na viumbe hai yani wanyama na miea.
Mbolea hii imetengenezwa baada ya utafiti wa kina kufanyika nchini Marekani na
kutengenezwa katika viwanda bora zaidi.
Mbolea hii haina
madhara kwa binadamu wala wanyama hivyo unaweza kula mazao yako hata baada ya
kuitumia, pia imesheheni virutubisho vingi kama vichochezi au hormoni,vitamini
na madini yote muhimu ambayo huhitajika katika mmea yani macronutrients na micronutrients
wakati mbolea nyingi za viwandani huwa na macronutrients tu.
Mbolea hii huhifadhiwa
katika ujazo wa liter mmoja(1)
VIAMBATA MUHIMU VYA
MBOLEA HII
Kwakuwa imezingatia
mahitaji yote ya mmea ikiwa ni pamoja na virutubisho vyote vinavyohitajika kwa
wingi katika mmea (macro nutrients) bolea hii ina Nitrogen, Phosphorus,
Potassium, Calcium, Magnesium na Sulpher.
Pia mbolea hii
ina(micro nutrients) yani madini au virutubishi vyote vinavyohitajika kwa
kiwango kidogo katika mmea vikiwa ni Zinc, Ferrous,Copper, Boron,Manganese,
Silicon,Molybdenum,Sodium, Cobalt na Chlorine.
Kwakuwa Amino acids ni
muhimu katika ukuaji wa mmea, mbolea hii imesheheni aina zote nane za amino
acids.Amino acids huusaidia mmea kukua haraka,kuwa na ujazo mkubwa,huusaidia
mmea kupambana na magonjwa na nivigumu kuathiriwa na magonjwa mbalimbali.
MAZAO GANI UNAWEZA
KUITUMIA MBOLEA HII?!!!
Mbolea hii hutumika
kunyinyizia mazao au mimea yote haibagui!!!!! hivyo unaweza kuitumia kwa mazao
kama nafaka(mahindi,mpunga,ngano,mtama,ulezi n.k),jamii ya
mikunde(maharage,kunde,mbaazi,choroko,dengu, n.k) maua,majani ya bustani,miti
ya matunda(maembe,mapera,malimau,mapapai n.k) mboga mboga za majani na mazao
yenye kutoa matunda(matikitimaji,vitunguu,nyanya,hoho,pilipili,kabeji,spinachi
n.k),mazao yanayohifadhi chakula chake
ardhini(viazi,vitunguu, karanga,mihogo,njugu mawe,mananasi n.k)mazao ya
biashara(pamba,alzeti,karafuu, korosho na kahawa) na mengine mengi.
MATUMIZI YA MBOLEA HII
~Mbolea hii hutumika
kwa kuinyunyizia katika mazao na wakati mwingine kulowekea mbegu.
~Mbolea hii huweza
kutumika kwa kupandia na kukuzia mazao.
~Kutokana na mbolea hii
kusheheni virutubisho vingi zaidi katika ujazo mdogo,unapata fursa ya wewe
mtumiaji kuichanganya na maji mengi kabla ya kuitumia ili uweze kuitumia katika
eneo kubwa na uwe na matumizi mazuri ya pesa zako.
~Chupa moja(1) ya
mbolea utaitumia katika hecta 6.7 au heka 16.5 ninasema hivyo kwa kuwa;
1.Unaweza kuchanganya
liter 1 ya mbolea katika liter 1,000/= za maji
2.kama shamba shamba ni
dogo yani heka unaweza kuchanganya kifuniko cha mbolea yani mils 50 za mbolea
kwa liter 50 za maji nyunyiza mpaka umalize kisha changanya tena kama shamba
halijakamilika
3.kama ni kijibustani
unaweza kuchanganya 5mils/5cc za mbolea na ukachanganya na liter 20 za maji.
NB:mbolea hii haiunguzi
mazao wala haina madhara kwa mmea hata ikizidishwa vipimo
WAKATI GANI UITUMIE AU
UNYUNYIZE MBOLEA HII?
Unashauriwa unyinyizie
mazao yako katika majani wakati wa alfajiri mpaka asubuhi ambapo jua halijawa
kari na wakati wa jioni wakati jua limezama,hii nikwa sababu mmea utafyonza
mbolea yote na virutubisho vyote kwani stomata zitakuwa wazi na madini au
virutubisho ya mbolea havitaharibiwa kwa jua
~Unashauliwa
uichanganye na maji wakati unataka kuitumia,iwapo itabaki mfano ni Ć subuhi basi
itumie siku hiyohiyo jioni unyunyizie.
JINSI YA KUNYUNYIZIA
MBOLEA HII
Kuna njia nyingi sana
zikiwemo;
~Kubeba kifaa mgongoni
chenye dumu na bomba na ukanyunyizia shamba lako.
~Unaweza kumwagilia
mbolea katika mazao kwa njia ya drip(drip irrigation)
~ katika shamba la miti
mirefu unaweza kunyunyiza katika mizizi na matawi
~kutafuta utaratibu
wakutengeneza mfumo wa kunyunyiza kama mvua inyeshavyo hasa kama mazao ni
mafupi au shamba kubwa sana kama la Maua na mbogamboga.
HAYA NI MANEENO YA BWANA JOHN KUTOKA SONGEA AKIRUDISHA USHUHUDA BAADA YA KUTUMIA MBOLEA HII YA GREEN ORGANIC FERTILLIZER NA KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA MAVUNO.
MATOKEO/ MABADILIKO
Baada ya kuitumia
mbolea hii matokeo mazuri utayaona mapema sana yani baada ya siku saba (7)
FAIDA YA MBOLEA HII;
MBOLEA HII
INAKUHAKIKISHIA MAMBO MENGI YAKIWEMO;
~KUONGEZA UWEZO WA
MIMEA KUFYONZA MADINI LISHE MBALIMBALI KUTOKA KATIKA UDONGO NA PIA KUOTESHA
MIZIZI NA MATAWI HARAKA.
~KUONGEZA UWEZO WA MIMEA KUJITENGENEZEA
CHAKULA CHAKE.
~HUONGEZA RUTUBA YA
SHAMBA LAKO NA INAHIFADHI UNYEVU KWA MUDA MREFU PIA HURUDISHA PH YA UDONGO
KUFIKIA KIWANGO KINACHOHITAJIKA KWA MMEA YANI KATI YA 6-8
~HUWEZESHA MIMEA
KUHIMILI UPEPO MKALI,UKAME,BARIDI NA MAGONJWA
~ HUFANYA MIMEA KUOTA
MAPEMA NA IWE NA AFYA NJEMA N.K
~HUONGEZA THAMANI YA
MAZAO YAKO KWANI HUWA MENGI,MAKUBWA,YENYE RANGI NA RADHA NZURI NA YENYE KUVUTIA
SANA.
Gharama za mbolea kwa chupa 1 ni sh 95,000/= kwa rejareja. na sh 90,000/= kwa chupa kuanzia 3.
Ofisi yetu ipo hapa maeneo ya Karume Machinga Complex Dar es salaam lakini kama upo mkoani usipate shaka tutakutumia mzigo baada ya kufanya malipo.
Tuandikie kwa namba
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA