Utajiskiaje endapo siku moja umeenda hospitali
ukagundulika una saratani,??.
Ni swali ambalo watu wengi hujiuliza, maana
nimeshuhudia watu wengi wakipata shida juu ya tatizo hili. Madaktari
watakwambia una kansa ya ini, utumbo, mapafu ama kizazi, lakini hawakwambii
nini kimekufikisha kwenye tatizo husika, hivo tiba ya kisasa italenga moja kwa
moja katika kutibu dalili ya kansa kama kuukata uvimbe kabla haujaenea sana,
kuchoma uvimbe kwa kutumia mionzi, ama kutumia madawa makali katika kudhoofisha
uvimbe wa saratani. Lakini je ulishawahi kujiuliza nini chanzo kikubwa cha tatzo
hili ambalo linamaliza maisha ya wapendwa wetu kila siku.??
Tiba asili ama functional medicine inahimiza kwa mgonjwa
na dactari kukaa pamoja na kuchunguza nini vyanzo vya ugonjwa. Hivo kwa
kusuluhisha chnazo basi tayari unakuwa umetibu matokeo ambayo ndio dalili za
ugonjwa. Hivo kwa upande wa tiba asili, mwili ni kama bustani ama shamba nzuri.
Shamba hili lisipotunzwa vizuri basi magugu yataanza kuota na kumea.
Tiba ya mionzi na kukata sehemu ya mwili
iliyoathiriwa na saratani siyo mbaya, lakini pia ni muhimu mgonjwa kufahamu
njia sahihi za kujikinga ama kuzuia tatizo lisirudi tena.
picha ikionesha seili a saratani (kijani) na seli za damu (nyekundu)
KUTUNZA SHAMBA yaani mwili wako ni sheria ya kwanza katika kukinga
mwili dhidi ya saratani
Tafiti zinaonesha kwamba kuna vitu vingi ambavyo
tuviweka kwenye kundi la vihatarishi vinavyowea kupelekea sararatani, mfano
aina ya lishe, ukosefu wa mazoezi, msongo wa mawazo, sumu kwenye mazingira, vyote
vinaweza kuchochea ukuaji wa saratani.
Hapa utagundua kwamba ili mmea ama mifumo yako ya
mwili ikiwemo viungo kama moyo, figo nk viweze klufanya kazi vizuri basin i
lazima pawepo na maingira salama kwenye shamba ama mwili husika wa binadamu,
vinginevyo hapatukuwa na usawa na ndipo magonjwa kama saratani yataanza
kuibuka.
Sasa kumbe tunaweza kuimarisha kinga ya mwili na
kuwa makini kwenye vyakula tunavyokula, tukabadilisha mtindo wa maisha ukawa
siyo wa kutegemea vyakula vya viwandani.pia tunaweza kuimarisha uwezo wa mwili
kundoa sumu, na kuweka uwiano katika vichocheo ama homoni, na pia kuhakikisha
tunakuwa fikra chanya mda mwingi tukaonoa msongo wa mawazo na hivo kutengenea
maingira ya hisia nuri za mwili.
Saratani ama kansa ni matokeo ya kuwa na uwiano
mbaya kwenye mifumo yetu ya mwili na hivo kupelekea kinga ya mwili kushindwa
kupambana na seli hizi. Seli za saratani huanza zikiwa ndogo sana lakni miili
yetu iliumbwa kupambana na magonjwa , hivo ni muhimu mwili kupaliliwa na
kuwekewa virutubisho vya kuusadia uendelee kupambana na seli hizi za kansa
kabla hazijaleta madhara.
Ifuatao ni hatua tano ambazo unaweza kuzitumia
kuzuia saratani, ama kama tayari umeugua basi itakusaidia kuzuia kuenea kwa
seli za saratani ndani ya mwili.
1.ACHANA NA SUKARI
Sukari husaidia kukua haraka kwa seli za saratani,
na pi kukufanya kuwa na uzito mkubwa na kitambi., kisukari kinaathiri zaidi ya
watu bilioni 1.7 duniani. Unaweza kusoma makala yangu inayoeleea jinsia uito mkubwa
na kitambi unavyopelekea hatari ya kupata saratani kwa kubonyeza hapa.
Punguza matumizi ya vyakula vya wanga na sukari, pia
vilivyosindikwa na badala yake tuwa kiasmia zaidi vyakula vya mafuta, asili na
visivyosindikwa.
2.EPUKA VYAKULA VINAVOLETA MZIO AMA ALEJI
Viambata kama glutein vinavyopatikana kwenye nafaka
za ngano kwa kiasi kikubwa, vinapoingiau kwenye utumbo hupelekea kulegea kwa
ukuta wa tumbo unaohusika na uvyonzaji wa chakula, hapa nataka uelewe kwamba
katika mfumo wa chakula, sehemu panapofanyika uvyonzaji wa virutubisho hitwa
small intestine ama utumbo mwembamba, hivo basi siyo kila kitu huruusiwa kupita
hapa kwenda kwenye mfumo wa damu. Sasa kuta za utumbo ni kama chekecheke ambalo
liazuia baadhi ya vitu hatari kupita kwenda kwenye damu, endapo chekecheke hili
likiwa na matobo makubwa ndipo sumu na protin kubwa kama glution hupenya
kuelekea kwenye damu. Na hapo mwili utaitikia kama adui kaingia hivo kupeleka
askari wengi mahali husika kushambulia, sasa mashambulizi ya mara kwa mara
hupelekea mahali huiska kututumka na kuvimba.
3.IMARISHA MFUMO WAKO WA CHAKULA
Saratani nyingi hutokana na hitilafu kwenye mfumo wa
chakula unaoletekezwa na lishe mbaya, hakikisha unapunguza kiasi cha protini
kwenye mlo wako, badala yake tumia vyakula salama vya mafuta kama mayai ya kuku
wa kienyeji, nyama kutoka kwa mnyama aliyekuzwa kwa kula majani na siyo nafaka,
parachichi, na nazi. Tumia pia mafuta ya omega 3 kwa wingi kutoka kwenye vyanzo
kama samaki ama unaweza kupata virutubisho hivi vya asili kutoka kwenye vyanzo
sahihi.
4.MAZOEZI IWE NI KITU CHA LAZIMA
Kwa ujumla mazoezi hupunguza kasi ya utolewaji wa homoni
ya insulin na hivyo kutengeneza mazingira hafifu ya uwepo wa sukari kwenye
mwili, na hivo sukari ikiwepo kidogo hupinguza kasi ya kuenena kwa seli a
kansa. Utafiti ulowahi kufanyika umeonesha kwamba mazoezi mfululizzo kwa miezi
mitatu yanasaidia kuimarisha kinga ya mwili inayopambana na seli za
kansa/saratani.
5.PATA USINGIZI WA KUTOSHA NA KUJIEPUSHA NA
mazingira hatarishi yanayopelekea kuugua ugonjwa wa saratani, mazingira haya ni
kama mionzi kutoka kwenye vifaambalimbali kama matumizi makubwa ya simu, tv,
kemikali zinazotokana na dawa za kuua
vimelea kwenye mimea na wanyama.
UTAFITI WA MIMEA UNASEMAJE KUHUSU TATIZO
LA KANSA
Nchi kama china na Vietnam zinasifika kwa kuzalisha
kwa wingi mimea mbalimbali ambayo imekuwa ikisaidia kutibu kansa stage ya
kwanza na kusaidia kuzuia kusambaa kwa seli za kansa. Hivo gharama zake imekuwa
kubwa sana ukiingatia mimea hii haipatikani hapa Africa. mimea hii ni kama
1. GINSENG,
mmea huu husaidia
·
kuongeza kiwango cha seli nyeupe za damu
ambazo hupambana na seli a kansa, rejea hapo juu nlipoandika uhusiano wa kinga
yako na kukua kwa seli za saratani.
·
Pia mmea huu husaidia kharakisha uponaji
wa vidonda na kutibu saratani ya awali.
·
Kuimarisha kinga ya mwili na hivo kuzuia
mashambulizi ya mwili ya mara kwa mara
·
Kupambana na seli za kansa
·
Huimarisha ufanyaji kazi wa figo, ini na
mapafu na
·
Kuongeza nguvu kwa wale wanaopata ganzi
mara kwa mara.
3. GARNODERMA,
mmea huu husaidia
·
kuimarisha kinga ya mwili na hivo kuzuia
saratani.
·
Kupunguza athari zinazotokana na tiba ya
mionzi na madawa makali (radiotherapy na chemotherapy) nahivo kukupunguzia adha mablimbali kama kutapika, maumivu, kupungua kwa nywele,
na ganzi ya mara kwa mara. Hivo unaweza kuendelea na dozi ya hospitali huku
ukitumia dawa zetu pia.
·
Kuongeza uwezo wa kinga ya mwili, na
kusaidia wenye aleji na magonjwa ya mfumo wa hewa kama pumu na hivo
kukuwezesha kurahisisha upumuaji.
JARIBU PACKAGE YETU YA NATURAL CANCER CARE Ugundue nguvu iliyopo ndani ya mimea hii ya
ginseng, ganoderma na ccordceps, mimea hii tayari ipo kwenye mfumo wa vidonge.
Baada ya kuagiza kutoka nje na kuvifanyia utafiti tunaleta kwako ili urudishe
matumaini ya kupona tatizo lako la kansa tofauti na ulivoambiwa kwamba kansa
haitibiki.
Kama upo Dar es salaam tunapatikana maeneo ya Mwembechai fika tutakuhudumia,
kisha utapata kadi maalumu ya utambulisho ambayo itakusaidia kupata huduma zetu kwa
gharama nafuu na punguzo la 25% siku zote.
Package yetu ya saratani ni Tsh 250,000/=
Kama upo mkoani
basi usipate shaka, tutakutumia huduma ya dawa baada ya kufanya malipo popote
ulipo.
HITIMISHO
Kama aumeshagundulika na saratani ama
ndugu yako wa karibu ama mtu wa familia yako, nataka nikupe moyo kwamba
huhitaji kuogopa maana
Saratani inatibika endapo ukiwahi
mapema, na pia unaweza kuzuia kusambaa kwa saratani endapo tu utapata tiba
sahihi, fahamu tu kwamba kuna njia ambazo unaweza ukazitumia kuimarisha afya ya
mgonjwa husika na pia ukafanya kazi zako kama kawaida.hivo usiifikirie kansa
kama kitisho anza kuwa na mtazamo tofauti na cha msingi zaidi usipoteze
tumaini.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA