Skip to main content

Posts

Kisonono ni nini ?, je kuna Tiba ya kisonono ?

Nini maana ya kisonono, je naweza kupata tiba sahihi ya kisonono?  Soma makala jii upate kujifunza na kupata ueewa juu ya tatizo la kisonono ambalo limeathiri watu wengi sana kwa sasa hasa vijana wa kiume. Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake. Nnini husababisha kinonono au Gonorrhea?? Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Na hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uzazi,
Recent posts

CHOOSING YOUR BABY GENDER

The following summary of the methods outlined in Dr. Shettles' book.  BEGIN SHETTLES SUMMARY  Basically, men produce two types of sperms, the X (female) and Y (male). According to Dr. Shettles' studies the y-sperms are smaller, weaker, but faster than their siblings x-sperms, which are bigger, stronger, but slower.  Based on this fact, there are several things you can do to "favor" the conception of boys or girls as outlined below (1) The most important aspect of all is timing of intercourse during the monthly cycle. The closer to ovulation you have sex, the better the chances to have a boy, because the y sperms are faster and tend to get to the egg first. If you have sex 3 days or more before ovulation, the better your chances to conceive a girl, because the weaker y-sperms tend to die sooner and the x sperms will be available in greater quantity whenever the egg is released. On the other hand, having sex from 2 days before ovulation, through a few days after

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI, CHANZO NA TIBA YAKE

Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri  Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Kiwango cha uchafu unaotoka, ra

TIBA YA KISUKARI NA USHAURI WA KITAALAMU

Kati ya watu watatu basi mmojawapo tayari ana ugonjwa wa kisukari ama atapata ugonjwa huu hivi karibuni: je wewe ni mmojawapo, na hufahamu hili??? Tafiti iliyofanyika mwaka 2015, inasema gharama zinazotumika kwenye kutibu ugonjwa wa kisukari kwa nchi za kusini mwa jangwa la sahara zinafikia dola bilioni 19.5, hapo utaona jinsi gani tatizo linavoongezeka miaka hadi miaka na kuharibu afya za wapendwa wetu. Sasa leo tutafahamu kisukari ni nini, aina za kisukari, nini chanzo cha kisukari, aina ya vyakula unachotakiwa kula ili kujikinga na tatizo hili na mwisho kama tayari umeugua na unateseka na ugonjwa wa kisukari ufanye nini. Fuatana nami katika Makala hii ukisoma taratibu upate maarifa kwa kina. What is diabetes?? Kisukari ni nini?? Kisukari ni ugonjwa wa kiutendaji (metabolic disorder) unaopelekea kupanda kwa kiwango cha sukari kwenye damu na mwili kushindwa kustahimili tena ngezeko la sukari. AINA ZA KISUKARI Kuna aina kuu 2 za kisukari, aina ya kwanza ambayo kisuk

HATUA TANO ZA KUZUIA NA KUTIBU SARATANI (KANSA)

Utajiskiaje endapo siku moja umeenda hospitali ukagundulika una saratani,??. Ni swali ambalo watu wengi hujiuliza, maana nimeshuhudia watu wengi wakipata shida juu ya tatizo hili. Madaktari watakwambia una kansa ya ini, utumbo, mapafu ama kizazi, lakini hawakwambii nini kimekufikisha kwenye tatizo husika, hivo tiba ya kisasa italenga moja kwa moja katika kutibu dalili ya kansa kama kuukata uvimbe kabla haujaenea sana, kuchoma uvimbe kwa kutumia mionzi, ama kutumia madawa makali katika kudhoofisha uvimbe wa saratani. Lakini je ulishawahi kujiuliza nini chanzo kikubwa cha tatzo hili ambalo linamaliza maisha ya wapendwa wetu kila siku.?? Tiba asili ama functional medicine inahimiza kwa mgonjwa na dactari kukaa pamoja na kuchunguza nini vyanzo vya ugonjwa. Hivo kwa kusuluhisha chnazo basi tayari unakuwa umetibu matokeo ambayo ndio dalili za ugonjwa. Hivo kwa upande wa tiba asili, mwili ni kama bustani ama shamba nzuri. Shamba hili lisipotunzwa vizuri basi magugu yataanza kuota na kum