WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya
kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya
ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza
kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha
kutoka kinyama au uvimbe.
ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita
HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles.
Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu
wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika
hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30 mpaka 50
AINA ZA BAWASIRI
Kuna Aina kuu mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa
huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa
artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali
pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi
yenyewe ndani baada ya kujisaidia.
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu
kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu
kurudi
(B)BAWASIRI YA NJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la
mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi
katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na
damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu
ambavyo ni vihatarishi kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
1.
KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
2.
KUHARISHA KWA MUDA MREFU
3.
KUTOPATA CHOO KWA MDA MREFU
4.
MATATIZO YA UMRI
5.
KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
6.
UZITO KUPITA KIASI
7.
MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
- Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
- kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
- kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
- kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
- kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba
iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba
hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi
kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip kubandika mahali penye
tatizo na kuondoa tatizo Hilo
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa
kuzingatia
1.
KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA
ZISIZOKOBOLEWA
2.
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
3.
EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
4.
Epuka vyo vya kukaa
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
1.
kupata upungufu wa damu (anemia)
2.
Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
4.
kuathirika kisaikolojia
5.
kukosa moral ya kufanya Kazi na maumivu makali
TIBA NA USHAURI KWA MGONJWA WA BAWASILI
¤ Mgonjwa
anatakiwa kutumia vyakula aina ya kambakamba kwa wingi.
¤ kutumia
maji mengi kwa siku,
¤
kujisaidia mara moja bila kujibana pindi ajisikiapo kujisaidia.
¤ kufanya
mazoezi ya mwili.
¤ pindi
tatizo linapozidi kua kubwa mgonjwa hupewa dawa kwa ajili ya matumizi ya muda
mrefu.
Hili ni
tatizo linalosumbua watu wengi sana katika jamii,humkosesha mtu amani kabisa hadi kufikia
wagonjwa wengine kushindwa kukaa na kuvuja damu nyingi mpaka kulazwa hospitali kwa mda mrefu.
Tiba ya
tatizo hili kwa kutumia vidonge vilivyotengenezwa kwa mimea na mafuta ya black seed.
Dawa zetu
huondoa uvimbe wowote ulio katika mfumo wa chakula,ikiwa na maana kua endapo
kama kutakua na dalili za bawasili (uvimbe kwenye hajakubwa) ,
pia
hufanya kazi ya kurekebisha mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula na kumfanya
mtu apate choo kwa ulaini na bila maumivu, kutibu vidonda vya tumbo na kuondoa tatizo la kiungulia ama acid
reflux.
Dawa hizi
ni dawa asili zenye nguvu (strength) ya 300mg.hivyo utavitumia vidonge hivi
asili kwa muda wa siku 30 tu . na kisha hali yako kutengamaa.
Dawa hizi
ni matokeo baada ya kupembuliwa kwa umakini kile kiini tiba na kuwekwa katika mfumo salama na rahisi kwa
matumizi ya mgonjwa.
NB:
Chemotherapy ama operation kwa kukata sehemu iliyoota inafeli mara nyingi
kutibu tatizo hili kutokana na kwamba tatizo hujirudia tena na tena. hivo tunashauri Tumia hizi
dawa kwa muda wa siku 30, huku ukifata ushauri wa kitaalamu ambao tutakupa juu ya matumizi ya vyakula, tatizo litakuwa limekwisha kwa gharama ya sh 85,000 tu. usjali kuhusu gharama kutokana na kwamba dawa zetu zina uhakika wa kumaliza tatizo.
Tupigie kwa namba 0678626254
Gharama za Dawa ni Tsh 125,000/=
Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai.
Kama upo mkoani ama nje ya nchi basi ondoa shaka maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.
kumbuka kushare makala kupitia ukurasa wa facebook ili kuwasaidia wengine wenye tatizo hili.
marafiki zako waelimike.
marafiki zako waelimike.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA