Skip to main content

SULUHISHO LA NGUVU ZA KIUME

Kwanini tatizo la nguvu za kiume na unawezaje kuepuka na kutibu.

Tatizo la nguvu za kiume sasa limepata suluhisho kupitia mimea ya Fructus Lycii kutoka Thailand. jipatie bidhaa hizi za asili na uepuke matumizi ya kemikali
Mabadiliko ya mitindo ya maisha kama ulaji mbaya na matumizi ya kemikali yamesababisha kundi kubwa la vijana kuathirika na kutokuwa na uwezo mzuri wa nguvu za kiume. kwa kulitambua hilo basi tumewaletea  vidone vya Mimea aina ya Fructus Lycii  ni mimea maarufu sana nchini thailand,china,india,vietnam kwani hadi sasa nchi kama thailand ndiyo inayo ongoza kwa kulima aina hii ya miti ambayo imekuwa ikitumika kurudisha kabisa nguvu na kutibu hali ya kutopata mtoto kwa sababu ya mbegu chache.
Mimea hii inatibu matatizo ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa wanaume,kukosa shauku,kukosa mtoto pia na magonjwa yote ya njia ya mkojo yanayo ambatana na maumivu wakati wa kukojoa.

Nchi hizi kama Thailand na China  hadi sasa zimetengeneza kirutubisho ambacho kina uwezo mkubwa wa kukutibu tatizo lako na hatimaye kuepukana na tabia ya kunywa kemikali kila siku.
kwani dawa hii sasa nchi zilizo endelea zimekuwa zikipata suluhisho kupitia dawa hii na kuacha kabisa matumizi ya kemikali.
kumbuka ni kirutubisho hivyo havina kemikali hata kidogo na hutibu tatizo sio kutuliza tatizo.
ila kwa wale walioathirika na upigaji punyeto watahitaji kurudia dozi mara 2 mpaka 3 kutokana na madhara ya kitendo chenyewe.
kwa wale wenye ndugu zao nchi za nje hebu jaribu kuagiza mimea hii kutoka nchi jirani jaribu kutumia mizizi yake utafune utaona maajabu yake.
unaweza kupata bidhaa hii yenye maajabu ya kipekee ambayo unaweza kuitumia hata kama huna mwenza wako baada ya kupona ndipo unaweza kuendelea na maisha ya kila siku.
Dalili za upungufu wa nguvu za kiume
kuwahi kufika kileleni
√ kuchelewa kurudia tendo la ndoa
√kuchoka sana
√ kukosa shauku ya tendo la ndoa
√ kutokuwa na uwezo wa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu
Kama nawe umewahi kupitia adha ya kutomridhisha mwanamke utakibaliana nami kuwa ni aibu na fedheha sasa ni wakati wako Wa kufanya kweli kama mwanaume halisi.
Unaweza kuwasiliana nasi ili upate ,maelekezo ya namna ya kufika ofsini ama ukatumiwa dawa mikoani


JARIBU MALE SEX DRIVE CARE PACKAGE YETU

Ofisi zetu zipo Magomeni Mwembechai.
Kama upo mkoani pia Tuandikie kwa ujumbe mfupi ili tuweze kukupa utaratibu namna ya kukutumia dawa. 

Dawa zetu za asili zinagarimu sh 150,000 /= tu zinatumika kwa week 4.


ANGALIZO

kumbuka afya yako siyo dhamana ya mtu, afya yako ina thamani kubwa kuliko pesa unayotoa  hivo usiangalie gharama za dawa na kuamua kwenda mitaani kununua dawa za bei nafuu halafu ukaendelea kuwa muhanga na kuteseka na matatizo yako. Tunakuhakikishia kwamba lazima utapona ukitumia dawa hizi pasipo na mashaka kabisa. karibu

Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa Whatsapp

Usiache kufuatilia Makala yetu mpya: Madhara ya upigaji punyeto kwa muda mrefu



Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUGUNDUA NA KUTHIBITI VIDONDA VYA TUMBO( PEPTIC ULCER)

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Tunashukuru kwa kuendelea kufatilia makala zetu, kwa maoni na ushauri ama uhitaji wa kufika ofisini basi endelea kutuandikia kwa namba  0714206306 .  Kupata ufahamu mpana juu ya vidonda vya tumbo ni vema kuelewa kwanza mfumo unaohusika na tumbo ambao ni umen'genyaji wa chakula. Sehemu kuu zinazohusika katika umen'genyaji huo ni kinywa,umio ambayo ni misuli wenye urefu wa sentimeta 23 ambao huunganisha koromeo na tumbo'esophagus',mfuko wa nyongo na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo'duodenum',utumbo mdogo,kongosho,utumbo mpana na sehemu ya mwish oni ya utumbo'rectum'. Mfumo wa mmen'genyo wa chakula hasa kuta za umio,tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na tindikali inayotumika kumen'genya chakula inaposhambulia kuta hizo, hii ndiyo vidonda vya tumbo'Peptic Ulcers',vidonda vya mfumo wa umen'genyaji chakula vikiwa kwenye tumbo ni 'Gastric Ulcer'vikiwa kati...

Kisonono ni nini ?, je kuna Tiba ya kisonono ?

Nini maana ya kisonono, je naweza kupata tiba sahihi ya kisonono?  Soma makala jii upate kujifunza na kupata ueewa juu ya tatizo la kisonono ambalo limeathiri watu wengi sana kwa sasa hasa vijana wa kiume. Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake. Nnini husababisha kinonono au Gonorrhea?? Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Na hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uza...

UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE

 FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST ) Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst. Uvimbe huu unaweza kumtokea mwanamke wa umri wowote ingawa mara nyingi huonekana kwa wanawake waliofikia kikomo cha umri wa kupata ujauzito. MAYAI YA MWANAMKE  Kwa kawaida mwanamke anakuwa na mayai mawili katika mwili wake. Yai moja upande wa kulia na yai jingine upande wa kushoto. Mayai haya hupatikana pembezoni mwa mfuko wa uzazi (uterus). Mayai haya huanza kuzalisha mayai ya uzazi yanayojulikana kama ovum  ambapo mayai hayo ya uzazi hukuwa ndani ya mayai ya mwanamke (ovary) kwa kuchochewa na baadhi ya homoni.  Katikati ya mwezi, siku ya kumi na nne, saa 24-36 baada ya kiwango cha kichocheo aina ya Luteinizing Hormone kuwa juu, mayai ya uzazi hutolewa k...