MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO
Kwanza kabisa katika mada hii napenda tufahamu kwamba miili yetu imeumbwa ikiwa na vimeng’enyaji ambavyo husaidia kuvunja vunja chakula ili kiweze kusagwa, vimeng’enyaji hivi vipo kuanzia mdomoni na njia yote ambapo chakula kinapita hadi kwenye utumbo mdogo ambapo ufyonzaji wa viini lishe hufanyika. Moja ya kimeng’enyaji kinachopatikana tumboni ni asidi ama tindikali inayoitwa hydrochloric acid ( HCL) .Asidi hii humwagwa juu ya chakula ili kurahisisha usagaji wa chakula tumboni. Kupanda kwa tindikali ni tatizo kubwa kiafya, ambalo linathiri watu wengi sana
Nafkiri mpenzi msomaji kuna wakati umewah kupatwa na hii
hali kwamba unapocheua basi unaona kama kuna maji maji yenye uchachu yanapanda
kutoka tumboni adi kwenye koromeo, kitendo hichi ndicho tunaita KIUNGULIA. Hapo
zamani ilifahamika kwamba tatzo hili
hutokana na wingi wa tindikali tumboni ndio maana wagonjwa hupewa dawa
zinazohuisha asidi hiyo.
NINI KINACHOSABABISHA KIUNGULIA??
Chakula kinapopita kutoka kwenye tumbo dogo (esophagus) na
kuingia kwenye mfuko mkubwa wa tumbo basi valve za chini hufunga ili kuzuia
chakula na tindikali visirudi tena, na
ndio maana hata mtu akila mda huo huo ukamuweka miguu juu mikono chini chakula
hakitoki. Kiungulia hutokea pale misuli midigo au valve zinaposinyaa na kuruusu
aside iliyopo tumboni kurudi mpaka
kwenye tumbo dogo (esophagus) .
Lakini ni muhimu sana kufahamu kwamba tatizo la kurudi kwa tindikali halisababishwi na wingi wa
tindikali kwenye tumbo ila ni dalili zinazoletekezwa na
·
Madhara ya bacteria waitwao Helicobacter pylori(H.pylori) inakadiriwa kuwa zaidi ya
nusu ya watu duniani wameathiriwa na H.pylori
JE UNAPATA MADHARA KUTOKANA NA MATUMIZI VIDONGE???
kama kiungulia chako kinasababishwa na dawa unazomeza basi jibu ni kwamba namna ya kujikinga kiungulia ni kuwa makini jinsi unavotumia vidonge, lini unatumia na pia unatumiaje vidonge au dawa hizo. Hakikisha usiongeze tena vidonge vingine kwa ajili ya kuhuisha hali hiyo pale inaposababishwa na matumizi ya dawa. Hizi ni baadhi ya njia ambazo zitaweza kukusaidia kupunguza makali ya kiungulia
kama kiungulia chako kinasababishwa na dawa unazomeza basi jibu ni kwamba namna ya kujikinga kiungulia ni kuwa makini jinsi unavotumia vidonge, lini unatumia na pia unatumiaje vidonge au dawa hizo. Hakikisha usiongeze tena vidonge vingine kwa ajili ya kuhuisha hali hiyo pale inaposababishwa na matumizi ya dawa. Hizi ni baadhi ya njia ambazo zitaweza kukusaidia kupunguza makali ya kiungulia
1.
Epuka kutumia dozi zaidi ya ile uliyoshauriwa na
dactari
2.
Baadhi ya dawa ni vizuri zikamezwa tumbo likiwa
tupu halina chakula na zingine humezwa hata tumbo likiwa na chakula, hivyo
hakikisha unasoma kwanza maelezo kwenye kipeperushu ndani ya dawa au muulize
dactari au muhudumu akupe ushauri jinsi na lini kuweza kutumia dawa
3.
Muulize dactari au muhudumu kupiia dawa na
virutubisho vyote unavyotumia kama vinasababisha kiungulia
4.
Tumia chai ya Tangawizi.
TIBA YAKO YA KWANZA NI VYAKULA VYA ASILI AMBAVYO
HAVIJASINDIKWA
Siri kubwa ambayo itakusaidia kutatua tatizo la kiungulia na
asidi ni kurudisha matumizi ya vyakula vya asili ili kufanya tumbo liweze
kufanya kazi katika hali yake ya kawaida. Ukweli ni kwamba matumizi makubwa
ya vyakula vilivyosindikwa na sukari
ni njia isiyopingika kabisa iko wazi kwamba inasababisha kiungulia na tindikali
kuwa nyingi kutokana na kitendo hicho kuvuruga mpangilio wa bacteria wazuri
waliopo tumboni na kwenye utumbo.
Badala yake hakikisha unatumia zaidi mbogamboga na vyakula
vingine visivyosindikwa vilivyo na ubora, Epuka vyakula na vinywaji vyenye Caffeine,pombe, na
nicotine.
Kitu kingine cha muhimu hakikisha unatengeneza bacteria wengi wazuri
kutoka kwenye mlo wako. , Hii itasaidia kutengeneza mazingira ya asili kwa
ajili ya umeng’enyaji wa chakula na pia kusaidia kuondoa bacteria wabaya
wanaosababisha vidonda vya tumbo ambao huitwa H.pylori bila hata kutumia
dawa.Pia ulaji wa vyakula vya asili unasaidia kurahisisha usagaji wa chakula na
ufyonzaji wa viini lishe katika damu.
NJIA ZINGINE AMBAZO NI SALAMA NA ZA UHAKIKA KATIKA KUTIBU
TATIZO LA KIUNGULIA NA KUPANDA KWA
TINDIKALI YA TUMBONI.
1. CHAI YA TANGAWIZI, tangawizi inajulikana
kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuua bacteria na kutatua tatizo la asidi kujaa
tumboni. Changanya vipande viwili au vitatu vya tangawizi vilivyopongwa ndani
ya vikombe viwili vya maji ya moto kasha
acha kwa nusu saa kasha kunywa dakika 20 au 30 kabla ya mlo wako.
2.
VITAMINI D, vitamin D ni muhimu katika kutatua
athari zozote zile ndani ya mwili, unaweza kupata vitamin D kwa kupata mwanga
wa jua la asubuhi au la jioni, kwa kupata usingizi mzuri. Lakini kutokana na
kuwa unaweza kuwa bize na kazi zako basi tutakupatia kirutubisho cha asili
kabisa, hakikisha unapomaliza kusoma makala hii tuma msg kwenye namba hii 0762336530
.
3.
GLUTAMINE, tafiti zilizofanyika mwaka 2009
zinaonyesha kwamba matatizo mengi ya tumbo yanayosababishwa na bacteria wa
H.pylori yanahusishwa na upungufu amino
aside inayoitwa Glutamine ambayo hupatikana kwenye vyakula vingi kama nyama,
kuku, samaki, mayai, na baadhi ya matunda na mbogamboga.
4.
VITAMINI B9 (FOLIC ACID) NA VITAMINI B ZINGINE,
Tafiti zinasema vitamin B zinapunguza uwezekano wa kupanda kwa tindikali.
Matumizi mazuri ya Folic acid basi yanweza kupinguza hali ya kiungulia kwa
karibu 40%
5.
JUISI YA ALOE VERA, mmea wa aloe unafahamika kwa uwezo wake
mkubwa wa kuponya vidonda
vya tumbo na kuondoa tatizo la mrundikano wa tindikali na gesi tumboni.
Kunywa vikombe viwili vya juisi ya aloce vera kabla ya kula chakula. ANGALIZO
cyo kila mmea wa Aloe vera una dawa inayotakiwa ndani yake kuna aina baadhi ya
mimea ya dawa. Kama huwezi kupata mmea huo basi tutakupatia kirutumbisho kilichopo katika mfumo wa vidonge. Usitumie
dawa zenye sumu.
HITIMISHO
MADHARA YATOKANAYO NA TINDIKALI TUMBONI HUPELEKEAMATATIZO
MAKUBWA KAMA KANSA , JOINTS NA MATATIZO MENGINE YA UZAZI MF UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
PALE AMBAPO TATIZO HAITATIBIWA MAPEMA.
Kwa maoni ushauri na TIBA ya matatizo yatokanayo na asidi tumboni kama vidonda vya tumbo, na pia magonjwa mengine yote ya kitabia kama UTI,FANGASI,
UVIMBE
NA MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAMKE UPUNGUFU
WA NGUVU ZA KIUME, NA MENGINE usisite kutuandikia
Pia kama una matatizo ya mfumo wa chakula basi wasiliana nasi tukupatie virutubisho kwa gharama ya sh 150,000/=. dawa hizi zinatumika kwa week 4, zikisafisha na kutibu maradhi ya mfumo wa chakula ikiwemo bawasili, tumbo kujaa gesi, kukosa choo na vidonda vya tumbo.
Wasiliana na wahudumu wetu kwa namba
Wasiliana na wahudumu wetu kwa namba
0714206306
upate maelekezo ya kufika ofisini.
Tiba ni Tsh 150,000/=
Utapata dawa zisizo na kemikali zilizo katika mfumo wa vidonge. Pia share makala hii kama unawapenda marafiki zako na ndugu.
kama upo mkoani basi ondoa shaka maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA