JINSI YA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATIZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME KWA KUTUMIA VYAKULA HIVI VI 5
Maelezo ya utangulizi.
Kichocheo cha testosterone, japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume.
.KAZI
KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA,
KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI.
NINI
KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE?
Ili
kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji
virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya
ZINC na vitamin D3, vitamini D inaweza
kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa
nazungumzia mwanga wa asubuhi
wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion
karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi wetu tunakosa vitamini
D kwa sababu muda mwingi tunautumia tukiwa ndani tukiendelea na shughuli zetu.
Zinc ni madini muhimu ambayo hupatikana kwenye baadhi ya vyakula.
NINI
HASA KINASABABISHA KUPUNGUA KWA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE KWENYE DAMU
Mawazo
au stress ni muuaji asili wa kichocheo cha testerone, pale unapokuwa na stress
basi Tezi ya Adrenal hutengeneza kichocheo iitwayo Cortisol ambayo inapoenda
kwenye damu hupunguza ufanyaji kazi wa kichocheo cha kiume cha testosterone
ndani ya mwili. Hivyo kama unataka kuepusha tatizo hili ni wazi kwamba
unahitaji kupuza stress na kiwango cha cortisol.
AINA
ZA VYAKULA AMBAVYO HUSAIDIA KUONGEZA UZALISHAJI WA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE
Ijapokuwa
kuna njia nyingi za kusaidia kuongeza kiwango cha kichocheo cha kiume au
Testosterone, uzalishaji wa kichocheo hii unategemea zaidi upatikanaji wa viini
lishe fulani ambavyo vinapatikana ndani ya vyakula tunavyotumia.
1.
KOMAMANGA (POMEGRANATE)
Tunda hili zuri lenye
rangi nyekundu likiwa limeiva limekuwa likitumika kama dawa kwa karne nyingi
sasa. Kutokana na uwezo wake mkubwa kama kiondoa sumu (antioxidant), pia upatikanaji
wa vitamini A,C, E na madini ya chuma, tafiti za kisayansi zinasema kuwa
unywaji wa glass 1 ya juisi kwa siku itokanayo na matunda haya inaongeza kwa
asilimia 16 mpaka 30 ya hamasa ya tendo la ndoa. Lakini pia inashauriwa zaidi
kula tunda lenyewe ili kwanza kufaidi nyuzinyuzi (fiber) ambazo zina umuhimu
kiafya pia itakusaidia kutokula kiwango kikubwa cha sukari kilichopo kwenye
matunda.
2.
MAFUTA YA MIZEITUNI
Mafuta ya mizeituni
yana uwezo mkubwa sana wa kuongeza kiwango cha kichocheo cha Testesterone
kinachozalishwa na mwili. Tafiti zinasema watu wanaotumia mafuta ya mizeituni
kila siku,kiwango cha testosterone huongezeka kwa asilimia 17 mpaka 19 ndani ya
week.
3.
NAZI
Mwili unahitaji mafuta
mazuri ili kuengeneza kichocheo nyingi, ikiwemo kichocheo cha testosterone.
Nazi na aina zingine za nuts kama karanga zinasaidia mwili kutengeneza mafuta
mazuri ambayo yanahitajika na mwili, pia mafuta yanayopatikana kwenye nazi
husaidia mwili kuwa na uzito mzuri na pia kupunguza mafuta mabaya yasiyohitajika
na mwili na hivyo utagundua kuwa kurekebishwa kwa uzito wa mwili basi
kunasaidia uzalishaji wa kichocheo cha kiume na utakubaliana nami kuwa uzito
mkubwa ni chanzo cha tatzo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na kupungua
kwa uzalishaji wa kichocheo cha kiume.
4.
MBOGA ZA MAJANI
Mboga za broccoli na
cauliflower zinasaidia mwili wa binadamu kutoa kiwango cha kichocheo cha
estrogen kilichozidi ndani ya mwili na hivyo kuongeza kiwango cha testosterone
ndani ya seli
5.
PROTINI ITOKANAYO NA MAZIWA
Protini hii ambayo
hupatikana kwenye sehem ya maji ya maziwa inazuia mwili kutengeneza kias
kikukwa cha kichocheo cha cortisol na hivyo kuongeza uzalishwaji na ufanyaji kazi wa wa kichocheo cha Testosterone, hapa ielewele kwamba kichocheo
hizi mbili huwa zinapishana moja ikiwa nyingi kwenye damu basi ingine huwepo
kwa kias kidogo kwenye damu.
DALILI ZIFUATAZO
ZINAONESHA KWAMBA UNA UPUNGUFU WA KIWANGO CHA TESTOSTERONE
·
Mwili kukosa nguvu mara kwa mara
·
Upungufu wa nguvu za kiume
·
Kupungua kwa hamasa ya tendo la ndoa
·
Kupungua kwa uwezo wa misuli kufanya
kazi
NJIA
ZIFUATAZO ZITASAIDIA KUONGEZA KIWANGO CHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE NDANI YA
MWILI NA KUEPUSHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
1.
MAZOEZI YA MWILI
Kupunguza uzito
usiohitajika na mwili ni njia mojawapo asilia ya kuongeza kiwango cha kichocheo
cha kiume.
2.
PUNGUZA KIWANGO CHA MSONGO WA MAWAZO
Mwili Unapokuwa na
msongo wa mawazo basi hupelekea uzalishaji kwa wingi wa homoni iitwayo cortsol
ili kupamban na hali hiyo, lakini uoande wa pili ni kwamba kiwango kikubwa cha
cortsol kwenye damu hupelekea ufanyaji kazi ya homoni ya kiume yaani
testosterone kupungua
3.
PUNGUZA MATUMIZI MAKUBWA YA VYAKULA
VYENYE SUKARI NA WANGA
Matumizi makubwa ya
vyakula vyenye wanga na sukari hupelekea mwili kutengezeza kiwango kikubwa cha
homoni ya insuini ili kubadilisha kiwango hcho cha sukari na kukihifadhi kama
mafuta, hivo mpenzi msomaji tambua kwamba kadiri unakula wanga na sukari nyingi
ndipo kias kikubwa cha insulini kinavomwagwa kwenye damu na ndivyo ufanini na
utolewaji wa homoni ya kiume unavopungua.
HITIMISHO
Mpenzi msomaji baada ya kuona kuwa Testerone ndio
kichocheo kinachomfanya mtu awe mwanamme, yaani kuweza kufanya majukumu ya
kimwili kama mwanamme, ni wazi kuwa utakubaliana nami kwamba upunguvu wa kichocheo hiki moja kwa moja
kunapelekea TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ambalo linasumbua watu wengi
sana kwa sasa.
LAKINI KAMA
TAYARI UMESHAPATA TATZO LA KUKUA KWA TEZI DUME AMA UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA
KIUME BASI TUMEFANIKIWA KUTENGENEZA KIRUTUBISHO CHENYE KIWANGO KIKUBWA CHA ZINC, kitasaidia kuimarisha kiwango cha testosterone na hivo kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume na ufanisi wa tendo la ndoa
Kirutubisho hiki kina vidonge 60 na unatumia vidonge viwili
mara mbili kwa siku, kwa gharama ya sh 75,000/ =
Whatsapp namba yetu ni 0678626254
Usisahau kushare makala hii kwa ndugu marafiki na jamaa zako.
Whatsapp namba yetu ni 0678626254
Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa whatsapp
Ofisi zetu zipo Magomeni Mwembechai..Usisahau kushare makala hii kwa ndugu marafiki na jamaa zako.
Comments
Post a Comment
TUANDIKIE UJUMBE MFUPI, JUU YA TATIZO LAKO, JINSIA, UMRI, NA MAHALI UNAKOPATIKANA