Moja ya vyakula ambavyo tumekuwa tukitumia kwa wingi sana hasa kwa watanzania wenye kipato cha kati na chini kabisa ni vyakula vya aina kuu tatu, WANGA,PROTINI NA MAFUTA (FATS). Na kwa kiwango kidogo sana tunatumia vitamin na madini katika miili yetu. Na moja ya masomo ya chakula tunayofundishwa ni kula MLO KAMILI. Na ndio watu wengi tumekuwa tukitumia elimu hio hadi hapa tulipo fika. Lakini basi napenda kusema tu kwamba mlo kamili ni kwa ajili ya mtu mzima ambaye hana ugonjwa wowote na ni kwa yule tu ambaye hataki kula kiafya. Napenda kusema haya kwa sababu tumekuwa tukila vyakula vya namna ile ile lakini tumekuwa tukiugua sana magonjwa mbalimbali yatokanayo na lishe mbovu. Na hadi sasa ugonjwa wa kisukari hapa duniani unaua sana Zaidi ya ugonjwa wa HIV sasa ni swala la kujiuliza tunakosea wapi mbali katika lishe? Leo nataka nikueleze kidogo kuhusu sayansi ya chakula aina ya wanga. Maana kila mtu ninayemwelekeza njia sahihi ya kupunguza uzito anakwambia nitaishije bi...
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake