Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2015

JINSI YA KURUDISHA KINGA ZA MWILI KWA UYOGA

Kwa kawaida kinga ya mwili ndiyo kila kitu kinachouendesha mwili hasa katika kuulinda usishambuliwe na magonjwa ya aina mbalimbali. Mara zote kinga ya mwili inapokuwa juu basi siyo rahisi mtu kuugua hasa magonjwa madogo madogo na hata makubwa pia. JE, NITAJUAJE KAMA KINGA YA MWILI WANGU IMESHUKA? Watu wengi huwa wamekariri kuwa mtu ambaye kinga ya mwili wake imeshuka ni mgonjwa wa muathirika Ukimwi, Hii dhana siyo ya kweli kabisa, sasa leo kupitia makala hii utajua mtu ambaye kinga yake ya mwili imeshuka anakuwaje. Kwa kifupi ni watu wengi sana ambao kinga yao ya mwili imeshuka ila hawajitambui lakini wanaishia kulalamika kuwa wanaumwa matatizo mbalimbali. Sasa ukiwa na matatizo au dalili zifuatazo basi tambua kabisa kuwa kinga yako ya mwili imeshuka na unaweza kuchukua tahadhari mapema. 1. Ukiwa unaugua mara kwa mara hata kama ni mafua au homa yoyote basi jua kuwa kinga yako ya mwili ipo chini. 2. Mwili kuwa na uchovu au kujisikia kuchoka mara kwa mara 3.

NAMNA MATUNDA YANAVYOPEWA THAMANI NA WENZETU

Imekuwa kazi sana kupiga picha ya mseto huu mzuri na mtamu leo kabla ya kuushughulikia. Afrika imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi. Takribani vyakula vyote tunavyohitaji wanadamu hupatikana bara hili. Lakini pamoja na hayo uhai wetu mfupi kuzidi wengine duniani. Kufuatana na orodha ya wastani wa maisha iliyotolewa na shirika la Ujasusi Marekani (CIA)na Umoja wa Mataifa mwaka 2011- nchi zinazoongoza kwa maisha marefu ni Japani na chini kabisa ni Afrika. Wajapani wanaishi hadi miaka 90 kuendelea , Ulaya, Marekani na China kati ya 75 hadi 90; nchi za bara Asia (mathalan India) miaka 65 kuendelea; mwisho ni Afrika yenye taifa la Angola mkiani (miaka 40). Tanzania imewekwa na wastani wa miaka 50 hadi 53. Msingi wa sababu zinazowafanya watu wasiishi muda mrefu ni maendeleo ya uchumi-jamii na siasa. Lakini kiini cha wewe kuishi (mbali na elimu, makazi bora na furaha moyoni )ni CHAKULA BORA NA NAMNA UNAVYOKILA. Wajapani mathalan wanasifika kwa kula vyema- ha

NAMNA YA KUTUMIA TIKITI MAJI KUTATUA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

  Mbali ya kuwa ni chanzo kikuu cha Vitamin A, B6, C, ‘Potassium’, ‘Magnesium’ na virutubisho vingine kibao, tunda hili pia lina virutubisho vingine vyenye uwezo wa kuamsha hisia za kimwili (Sex li bido) na kuondoa matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume (Erectile Dysfunction).KAMA VIAGRA Wanasayansi wanasema kuwa Tikitimaji lina virutubisho vinavyoweza kuleta mhemuko wa kimwili kama mtu aliyemeza kidonge cha kuongeza nguvu za kiume cha Viagra. Tunda hili limeonesha kulainisha vizuri mishipa ya damu na kufanya mzunguruko wa damu mwilini kuwa mwepesi bila athari yoyote mbaya. Tikitimaji lina kirutubisho aina ya ‘arginine’, ambacho huchochea uzalishaji wa ‘nitric oxide’ kwenye mishipa ya damu na hivyo kuongeza nguvu za kiume kama ifanyavyo dawa ya Viagra. HUIMARISHA MISULI Vyakula vyenye kiwango kingi cha madini aina ya ‘Potassium’ kama vile Tikitimaji, huimarisha misuli ya mwili na huwafaa sana wanamichezo. Ulaji wa kipande kimoja cha Tikitimaji baada ya kufanya mazoezi ma

NAMNA YA KUREJESHA HESHIMA YA UNYUMBA KWA WANAUME

Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango. Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyokula, hewa tunayo vuta, changamoto za kifamilia yote haya HUPELEKEA WATU KUKOSA SHAUKU YA TENDO LA NDOA, NA USIPO LIWAHI UNAWEZA KUPATA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO. SASA JIPATIE BIDHAA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA MIMEA ASILI AINA KUU TATU NA VIUMBE WA BAHARINI WAJULIKANAO KAMA PIPE FISH IKAWA DAWA MOJA ASILI YENYE VIDONGE 60 TU UTAFURAHIA LADHA YA NDOA YAKO BILA MADHARA 1. SYNGNATHUS Hawa ni samaki wajukikanao kama pipe fish kutokana na umbo lao refu  hupatikana baharini na upatikanaji wake ni mgumu sana kwani huogelea ndani kwa ndani hivyo kufanya bidhaa hii kuwa adimu sana. Samaki hawa tafiti zinaonesha kuwa zinasafisha figo na kuimarisha kazi ya

NATURAL REMEDY FOR BETTER SEX LIFE

(100% Natural alternative to harsh prescribed medicines) Most men will find it difficult to admit to having a low libido or a lack of confidence in the bedroom. As men we are looked upon to be able to perform and fulfil a womans sexual needs as well as our own. It can be embarrassing if there's a lapse and you can't live upto that expectation every time. It's when problems arise in the functionality of a males sexual arousal or stimulation that leads to pressure and anxiety. Can you relate to ANY of these statements.. I find it difficult to get stimulated and sexually aroused with my partner.. I have health concers with prescribed medicines like Viagra.. I lack the confidence to get aroused or I might have a low libido.. I want to please my partner sexualy but find it difficult to get an erection.. I simply want to enjoy sex and have more fun in the bedroom.. If any of these statements sound familliar, then you will be happy to learn how you can easilly get lo

NJIA ZA KUWEZA KUPUNGUZA KITAMBI PAMOJA NA KUPUNGUZA UZITO

  1-ULAJI Ipo mifumo miwili ya kula. Chakula unachokula na namna unavyokila. Unavyokula. -Kuna kula vyakula vidogo vidogo vyenye madini, vitamini, mafuta nk mara nyingi kwa siku; au kula milo michache (mmoja au miwili) mikubwa ili kujaza tumbo. Ulaji mdogo mdogo husaidia afya na kuingia mwilini vyema kuliko ulaji mkubwa wa mara chache. Tumbo lina musuli zinazofanya kazi kama mashine au mnyama. Gari likijaa sana hupata taabu kwenda. Punda hivyo hivyo. Ulaji mdogo mdogo unaosambazwa mara kadhaa kwa siku  ni bora maana mwili unachambua kila kitu kwa wepesi na haraka. Unapokula milo michache mikubwa unapalilia zaidi mafuta mwili. (PENDEKEZO la kwa nza.  Asubuhi, kunywa maji kwanza, matunda, kisha ndiyo chai na vitu vingine kama mkate au maandazi…) -Wapo wanaodai kwamba wanakula matunda na mboga. Tatizo ni kwamba mipangilio  yao huwa ya makosa. Mathalan wengi hula matunda baada ya chakula . Vimeng’enya  chakula (enzymes) tumboni hufanya kazi namna tofauti. Mathalan vi

MATATIZO YA SHINIKIZO LA DAMU PAMOJA NA TIBA YAKE

Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer Shinikizo la damu husababishwa na nini? Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu: Uvutaji sigara Unene na uzito kupita kiasi Unywaji wa pombe Upungufu wa madini ya potassium Upungufu wa vitamin D Umri mkubwa Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin) Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin Uanishaji wa shinikizo la damu Presha ya kawaida <120 <80 Presha inayoelekea kupanda 120-139 80-89 Presha hatua ya 1 140-159 90-99 Presha hatua ya 2 160-179 100-109 Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110 Shinikizo la damu/BP ni ugonjwa unaosumbuwa watu wengi sana duniani na hii ni kutokana na kutokujuwa ni nini hasa husababisha ugonjwa huu mwilini. Shinikizo la damu linaonekana kuwa ni ugonjwa wa kuishi kwa kufuata masharti.

KANSA YA TITI (BREAST CANCER) INATIBIKA SASA

Nafurahi sana siku ya leo pia umeamua kuungana nami katika makala zangu za afya ambazo zimekuwa zikipendwa sana na wasomaji wangu kutoka mikoa mbali mbali hapa Tanzania. Hii yote ni kutokana na kuandika makala zenye kutoa elimu sahihi na yenye suluhisho kuhusu magonjwa sugu yanasemekana kuwa hayawezi kutibika. Basi kama ni mara yako ya kwanza kuungana nami ktk jukwaa hili la elimu ya magonjwa tabia naitwa Boaz mkumbo ni mkufunzi na mtaalamu wa magonjwa mbali mbali hasa magonjwa tabia . Unaweza ukaungana nami katika makala zangu mbali mbali zilizopita moja kwa moja kwenye blog yangu ya afya  utajifunza mengi sana .Lakini kama upo facebook like page yangu ya afya ya mkumbo healthcare products. Baada ya kuungana nami katika majukwaa yangu ya habari na elimu ya afya basi leo nakukaribisha ktk jukwaa la afya ya mwanamke ambapo leo tutaongelea kuhusu KANSA YA TITI(BREAST CANCER) YAFUATAYO NITAYAGUSA KWA KINA. Nini maana ya breast cancer. Kuna utofauti gani ya kan