Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2016

SAYANSI YA CHAKULA CHA WANGA NA SUKARI NA MSTAKABALI WA AFYA YAKO

Moja ya vyakula ambavyo tumekuwa tukitumia kwa wingi sana hasa kwa watanzania wenye kipato cha kati na chini kabisa ni vyakula vya aina kuu tatu, WANGA,PROTINI NA MAFUTA (FATS). Na kwa kiwango kidogo sana tunatumia vitamin na madini katika miili yetu. Na moja ya masomo ya chakula tunayofundishwa ni kula MLO KAMILI. Na ndio watu wengi tumekuwa tukitumia elimu hio hadi hapa tulipo fika. Lakini basi napenda kusema tu kwamba mlo kamili ni kwa ajili ya mtu mzima ambaye hana ugonjwa wowote na ni kwa yule tu ambaye hataki kula kiafya.  Napenda kusema haya kwa sababu tumekuwa tukila vyakula vya namna ile ile lakini tumekuwa tukiugua sana magonjwa mbalimbali yatokanayo na lishe mbovu. Na hadi sasa ugonjwa wa kisukari hapa duniani unaua sana Zaidi ya ugonjwa wa HIV sasa ni swala la kujiuliza tunakosea  wapi mbali katika lishe? Leo nataka nikueleze kidogo kuhusu sayansi ya chakula aina ya wanga. Maana kila mtu ninayemwelekeza njia sahihi ya kupunguza uzito anakwambia nitaishije bila chakul

KUKOSA USINGIZI (INSOMNIA/SLEEPLESS NIGHT)

Kwa kawaida mtumzima anatakiwa kulala masaa7-8 kwa usiku mzima. Lakini kunawatu hushindwa kulala kabisa au hulala kwa masaa machache sana kutokana na sababu mbalimbali. KUKOSA USINGIZI(INSOMNIA) ni tatizo la kukosa usingizi japokuwa unafursa ya kuweza kulala,tatizo hili linaweza kuwa nilamuda mfupi au nila muda mrefu yani tatizo sugu ambapo mtu hushindwa kulala au kupata usingizi mzuri kw a miezi sita(6)au zaidi. Tatizo hili husababishwa na mambo mbalimbali lakini zaidi nitazungumzia jinsi tatizo hili linayosababisha kwa kuwa  na UPUNGUFU WA MELATONIN HORMONE. Melatonini hormone ni vichocheo vinavyo tengenezwa au kutolewa na pineal gland, homoni hizi husaidia kuucontrol mzunguko wetu wa kawaida wa kulala na kuamka, hurekebisha saa ya mwili(biological clock) hivyo ukiwa na hormone hizi za kutosha utaweza kulala usingizi mzuri wala hautachukua muda mrefu sana kitandani pasipo kupata usingizi kama hauna shughuli maalumu ya kufanya. Melatonini hormone  hupunguzwa uzalishwazi