Skip to main content

KUKOSA USINGIZI (INSOMNIA/SLEEPLESS NIGHT)


Kwa kawaida mtumzima anatakiwa kulala masaa7-8 kwa usiku mzima. Lakini kunawatu hushindwa kulala kabisa au hulala kwa masaa machache sana kutokana na sababu mbalimbali.

KUKOSA USINGIZI(INSOMNIA) ni tatizo la kukosa usingizi japokuwa unafursa ya kuweza kulala,tatizo hili linaweza kuwa nilamuda mfupi au nila muda mrefu yani tatizo sugu ambapo mtu hushindwa kulala au kupata usingizi mzuri kw a miezi sita(6)au zaidi. Tatizo hili husababishwa na mambo mbalimbali lakini zaidi nitazungumzia jinsi tatizo hili linayosababisha kwa kuwa  na UPUNGUFU WA MELATONIN HORMONE.

Melatonini hormone ni vichocheo vinavyo tengenezwa au kutolewa na pineal gland, homoni hizi husaidia kuucontrol mzunguko wetu wa kawaida wa kulala na kuamka, hurekebisha saa ya mwili(biological clock) hivyo ukiwa na hormone hizi za kutosha utaweza kulala usingizi mzuri wala hautachukua muda mrefu sana kitandani pasipo kupata usingizi kama hauna shughuli maalumu ya kufanya.
Melatonini hormone  hupunguzwa uzalishwazi wake kwa asilimia 10%- 15% kila baada mtu akifikia umri wa miaka 35 na kuendelea.

SABABU ZINGINE ZINAZOSABABISHA KUKOSA USINGIZI
sababu ziko nyingi sana zikiwemo;
~Magonjwa hapa ni magonjwa mbalimbali kama Miguu kuwaka moto,pumu,shinikizo la damu,matatizo ya moyo,kipanda uso na kuwashwa au mzio.
~Baadhi ya matibabu hii inahusisha matumizi ya baadhi ya dawa Kali zenye kemikali
~Upungufu wa hormone za kijinsia estrogen
~Msongo wa mawazo
~Ugomvi na kelele
~Mazingira
~Kuishi au kufanya kazi za usiku  katika mazingira yenye mwanga kwa muda mrefu hii huathiri sana.

ATHARI ZA KUKOSA USINGIZI
~Uchovu wa mwili au kuhisi mwili hauna nguvu.
~ kuwa na hasira au mkali bila sababu za msingi.
~Maamuzi mabovu
~Kupoteza kumbukumbu au kusahau sahau.
~kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi
~Kupatwa na magonjwa ya shinikizo la damu au kisukari n.k

MATIBABU
~Badili mfumo wako wa maisha hapa ni katika ulaji wa vyakula pendelea kula zaidi vitu asilia kama mboga za majani na matunda na punguza vyakula au vinywaji vyenye caffein.
~Kunywa maji kwa wingi
~Tumia Asali mbichi vijiko viwili usiku
~ weka mazingira mazuri ya mtu kulala
~Tumia dawa zinazo fanya uwe na hormone za melatonin kama mafuta ya lavender

Mafuta ya Eucalyptus



Kwa miaka ya hivi karibuni mafuta ya Eucalyptus yamekuwa ni kitu adimu na cha kuaminika zaidi kutokana na uwezo wake kukukinga dhidi ya matatizo ya neva.
Matumizi: kupunguza msongo wa mawazo na kutengeneza usingizi mzuri. Weka mafuta ya Eucalyptus kwenye kopo la kupuliza (diffuser) kisha pulizia kwenye chumba cha kulala. Unaweza kupuliza jioni katika eneo la kupumzika kabla ya kwenda kitandani, pia unaweza kupaka kwenye ngozi nyuma ya masikio, kwenye pua na kwenye mto wako wa kulalia.
Mafuta haya asili (natural) yasiyo na kemikali yanapatikana Ofsini kwetua gharama ya Tsh 20,000/=

Bofya hapa Kuchati na Muhudumu Whatsapp uagize Mafuta ya Eucalyptus

au Piga simu namba 0746672914

Hakikisha tu una utayari maana watu wengi wamekiwa wakifurahia huduma zetu wakitupa shukurani nyingi kutokana na kwamba dawa zimeweza kuwatoa kwenye jela ya maradhi yaliyowatesa kwa mda mrefu. 

Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60...

Kisonono ni nini ?, je kuna Tiba ya kisonono ?

Nini maana ya kisonono, je naweza kupata tiba sahihi ya kisonono?  Soma makala jii upate kujifunza na kupata ueewa juu ya tatizo la kisonono ambalo limeathiri watu wengi sana kwa sasa hasa vijana wa kiume. Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake. Nnini husababisha kinonono au Gonorrhea?? Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Na hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uza...

JINSI YA KUGUNDUA NA KUTHIBITI VIDONDA VYA TUMBO( PEPTIC ULCER)

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Tunashukuru kwa kuendelea kufatilia makala zetu, kwa maoni na ushauri ama uhitaji wa kufika ofisini basi endelea kutuandikia kwa namba  0714206306 .  Kupata ufahamu mpana juu ya vidonda vya tumbo ni vema kuelewa kwanza mfumo unaohusika na tumbo ambao ni umen'genyaji wa chakula. Sehemu kuu zinazohusika katika umen'genyaji huo ni kinywa,umio ambayo ni misuli wenye urefu wa sentimeta 23 ambao huunganisha koromeo na tumbo'esophagus',mfuko wa nyongo na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo'duodenum',utumbo mdogo,kongosho,utumbo mpana na sehemu ya mwish oni ya utumbo'rectum'. Mfumo wa mmen'genyo wa chakula hasa kuta za umio,tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na tindikali inayotumika kumen'genya chakula inaposhambulia kuta hizo, hii ndiyo vidonda vya tumbo'Peptic Ulcers',vidonda vya mfumo wa umen'genyaji chakula vikiwa kwenye tumbo ni 'Gastric Ulcer'vikiwa kati...