Skip to main content

TATIZO LA MAWE KWENYE FIGO (KIDNEY STONES)

MAELEZO YA UTANGULIZI

Figo ni kiungo muhimu katikamwili wa binadamu, hufanya kazi ya kuchuja damu huku ikiondoa sumu zote za mwili ,figo hufanya kazi ya kurekebisha kiasi cha maji mwilini (electrolyte level).
Kabla damu haijapita katika figo, huwa imebeba maji na taka taka nyingi sana (urea) ,lakini inapopita katika figo huchujwa na vitu muhimu hurudishwa katika mzunguko wa damu lakini,masalia mengine ambayo hayafai tena katika mwili ikiwani pamoja na kiwango cha maji kilichozidi hupitishwa kwenye mirija miwili (ureters)kuelekea kwenye kibofu ( urinary bladder) nakisha  kutolewa nje ya mwili kupitia njia ya mkojo (urethra)

Mkusanyiko wa kemikali hizi  (chemical crystals), wakati mwingine hugandamana na kutengeneza chembechembe ya vitu kama mchanga,kadri siku zinavyozidi kuendelea ndivyo vinavyozidi kukua hadiwengine hufikia hatua ya kuziba njia ya mkojo katika figo yenyewe (neprone) au kwenye mirija yakupeleka mkojo kutoka kwenye figo kwenda kwenye kibofu (ureteter), hapo ndipo mtu anaanza kupata shida ya kukojoa na kusikia maumivu makali.

DALILI ZA UWEPO WA MAWE KWENYE FIGO

Mtu mwenye mawe kwenye figo huonyesha dalili zifuatazo;

  • Maumivu ya mgongo na kiuno
  • Mkojo kutoka ukiwa na rangi ya damu
  • Kutokwa na jasho wakati wa usik
  • Kupatwa na homa kali kwa wakati flani ikiambatana na kutetemeka mwili
  • Kuhisi kichefuchefu na kutapika
  • Mkojo kuwa na harufu kali
  • Maumivu makali sehemu za mbavu
  • Miguu kujaa maji/kuvimba.
  • Maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kushoto au kulia kutegemea ni figo ya upande gani iliyoathirika.
  • Maumivu makali unapogusa upande wa figo iliyoathirika.


KISABABISHI CHA MAWE KATIKA FIGO (KIDNEY STONES);

1.Matumizi ya baadhi ya dawa husababisha mtu kupata mawe katika figo pindi anapozitumia kila mara.
2.Utumiaji  wa vyakula vyenye kuongeza vitamin A na D, ambavyo huongeza kwa kiasi kikubwa madini joto mwilini
3.Kuishi kwenye mazingira ya joto sana bilakupata maji ya kutosha husababisha kiasi cha chemical kuongezeka katika figo na kusababisha zigandamane na kutengenezamawe ndani ya figo.
4.Maambukizi ya magonjwa ya figo kama renal tubulaacidocisctc, huongeza hatari ya kupata tatizo hilo.
5.Kurithi kutoka kwawazazi (wanakuwa na homoni ziitwazo antiduretic hormone)zisizoweza kufanya kazi yakuchuja damu kikamilifu na mwishowe hutengeneza mawekatika figo.
6.Utumiaji wa vyakula vyenye protinkwa wingi zinazotokana na wanyama na chumvi nyingi (huongeza hatari ya kupata tatizo hili)
7.Unene kupita kiasi

VIPIMO VYA KUGUNDUA UWEPO WA MAWE KWENYE FIGO

1.Mgonjwa kufanyiwa X-Ray au scan
2.Vipimo vya damu (blood test)
3.Vipimo vya mkojo (urenarlulisis)
Tiba  za tatizo hili la figo huwa ni gharama sana kiasi kwamba watu wengi wanshindwa kuzimudu.
Dawa zilizotengenezwa na mimea na zenye ubora mkubwa basi zina uwezo wa kutibu tatizo hili vizuri endapo utaliwahi mapema.
Baadhi ya dawa hizi ambazo hupatikana ofisini kwetu ni
a. TONIFYING
b.KODICEPS
c. CHITOSA

Dawa hizi mbali na kutibu matatizo ya mawe katika figo zinauwezo wa;
1. kutibu saratani ya kizazi stage ya kwanza ,kusafisha mirija ya uzazi na kutoa maji katika mirija hiyo
2.Uvimbe ndani ya mwili
3.Kurekebisha hedhi iliyovurugika kwa akina mama (hasa waliowahi kutumia dawa za uzazi wa mpango)
4.Saratani ya ini na kibofu cha mkojo
5.Kusafisha mfumo mzima wa njia ya mkojo
6.Huwasaidia akina mama wenye kasoro mbalimbali katika via vyauzazi.

Kirutubisho cha Kidney Tonifying

Kazi na Faida ya Kidney Tonfying (women & men)

  1. Kuimarisha uwezo wa figo katika kuchuja
  2. Kuondoa sumu na mawe vilivyojikusanya kwenye figo
  3. Kuongeza ubora na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke na mwanaume na
  4. Kutibu magonjwa mbalimbali ya figo.


Dawa hii ni Tsh 150,000/=


Karibu ufike ofsini kupata dawa yako usafishe figo

Tupigie kupitia namba 

0714206306 

Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa Whatsapp


 kama upo mkoani basi ondoa shaka maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.

Usiache kufuatilia makala yetu mpya: Namna mgonjwa wa mawe kwenye figo anavoweza kuepuka kupata gout



Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60...

Kisonono ni nini ?, je kuna Tiba ya kisonono ?

Nini maana ya kisonono, je naweza kupata tiba sahihi ya kisonono?  Soma makala jii upate kujifunza na kupata ueewa juu ya tatizo la kisonono ambalo limeathiri watu wengi sana kwa sasa hasa vijana wa kiume. Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake. Nnini husababisha kinonono au Gonorrhea?? Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Na hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uza...

JINSI YA KUGUNDUA NA KUTHIBITI VIDONDA VYA TUMBO( PEPTIC ULCER)

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Tunashukuru kwa kuendelea kufatilia makala zetu, kwa maoni na ushauri ama uhitaji wa kufika ofisini basi endelea kutuandikia kwa namba  0714206306 .  Kupata ufahamu mpana juu ya vidonda vya tumbo ni vema kuelewa kwanza mfumo unaohusika na tumbo ambao ni umen'genyaji wa chakula. Sehemu kuu zinazohusika katika umen'genyaji huo ni kinywa,umio ambayo ni misuli wenye urefu wa sentimeta 23 ambao huunganisha koromeo na tumbo'esophagus',mfuko wa nyongo na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo'duodenum',utumbo mdogo,kongosho,utumbo mpana na sehemu ya mwish oni ya utumbo'rectum'. Mfumo wa mmen'genyo wa chakula hasa kuta za umio,tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na tindikali inayotumika kumen'genya chakula inaposhambulia kuta hizo, hii ndiyo vidonda vya tumbo'Peptic Ulcers',vidonda vya mfumo wa umen'genyaji chakula vikiwa kwenye tumbo ni 'Gastric Ulcer'vikiwa kati...