Skip to main content

IJUE HOMA YA INI(HEPATITIS B)

Hepatitis B(homa ya ini/selimundu)ni mojawapo ya magonjwa yaliyo katika kundi la magonjwa ya zinaa(STD).
Magonjwa mengi ya zinaa yanatibika lakini kuna baadhi ambayo hayana tiba ya uhakika kama HPV,hepatitisB na C na HIV.Mengine yameanza kuwa sugu kutokana na matumizi ya dawa za antibiotics bila mpangilio.Magonjwa hayo ni kama gono(gonorrhea),kaswende n.k.
Homa hii ya Hepatitis B inapewa uzito mdogo sana licha ya kuwa ni hatari kubwa.Hata hivyo wapo wengine ambao hawaufahamu ugonjwa huu.Kwa wanaoujua wanakiri kuwa ugonjwa huu unamadhara makubwa pengine kuliko saratani na ukimwi.Wataalam wanaeleza kuwa Hepatitis B(homa ya ini) ni ugonjwa unaoambukizwa kwa urahisi wenye madhara makubwa na uwezo wa kuambukizwa kwa wepesi kuliko ukimwi.

Kitaalam ugonjwa huu husababishwa na virus vya Hepatitis B(HBV)ambayo huathiri mfumo wa utoaji wa sumu mwilini.Robo tatu ya watu ulimwenguni yasemekana wameathiriwa kwa muda na homa ya ini na wengine milioni 350 wameathirika moja kwa moja.Takwimu zinaonyesha kuwa homa ya ini huua watu 600,000 kila mwaka sehemu mbalimbali ambayo ni sawa na idadi ya wanaokufa kutokana na malaria.

Maradhi haya ya ini yanaelezwa kuwa yanaweza kusababishwa na kunywa kileo kupita kiasi au sumu inapoingia mwilini.Kutokana/kudhihirisha kuwa ugonjwa huu ni wa hatari sheria zimewekwa katika nchi mbalimbali ambazo zinamtaka kila raia mgeni anayetaka kuingia katika nchi husika kupata chanjo ya ugonjwa huu ili kuepusha maambikizi na kila anaye chanjwa hupewa kadi maalum ili kuthibitisha kuwa amechanjwa.Hatari kubwa ya ugonjwa huu ni namna ya uambukizaji wake ambapo unaposhika damu au majimaji ya mwili ikiwemo mbegu za uzazi unaweza kuambukizwa.

Wataalam wanaeleza ubaya wake kuwa unaweza kuambukizwa kwa kufanya ngono,kushika majimaji ya mwili wa mtu aliyeathirika ikiwa ni pamoja na damu,mate,machozi na mkojo.Shirika la afya duniani(WHO) linaeleza kuwa kirusi cha homa ya ini kinauwezo wa kuishi nje ya mwili wa binadamu kwa siku 7 na kwa wakati huo kirusi hiki kinaweza kusababisha maambukizi iwapo mtu hajapata chanjo.Watanzania wengi bila kujua wamekuwa wakiugua maradhi mbalimbali yanayosababishwa na homa ya ini bila kufahamu.Homa ya ini aina ya B inaweza kuua kimya kimya bila kuonyesha dalili zozote.


DALILI ZA UGONJWA WA HEPATITIS B/ HOMA YA INI.

Dalili za ugonjwa huu huchukua muda mrefu kuonekana na zikionekana mgonjwa anakuwa tayari amekwisha athirika sana.Baadhi ya dalili hizo ni;
1.Uchovu/kuchoka kupita kiasi
2.Kichefuchefu
3.Mwili kudhoofika
4.Homa kali
5.Kukosa hamu ya kula
6.Kupungua uzito
7.Maumivu makali ya tumbo upande wa ini
8.Macho na ngozi huwa ya njano
9.Mkojo kuwa wenye rangi ya njano iliyokolea sana
10.Kuvimba tumbo katika hatua za mwisho
11.Kutapika
12.Kuharisha au kupata maumivu sehemu fulani ya tumbo.

NAMNA HOMA YA INI INAVYO AMBUKIZWA

1.Kujamiiana bila kinga.
2.Kunyonyana ndimi
3.Mama mwenye ugonjwa kumuambukiza mtoto wakati wa kujifungua
4.Kuchangia damu isiyo salama
5.Kuchangia vitu vyenye ncha kali kama;sindano,wembe n.k
6.Kuchangia miswaki
7.Majimaji katika mwili wa binadamu pia ni chanzo cha maambukizi
Ugonjwa usipotibiwa hutengeneza uvimbe katika ini na kusababisha kansa ya ini na baadae kifo.

NAMNA YA KUJIKINGA NA HOMA YA INI

1.kupata Chanjo
2.Kutumia kinga wakati wa kujamiiana au kuacha kabisa
3.Kuacha kuchangia vitu vya ncha kali kama sindano na wembe nk
4.Kuwa na mpenzi mmoja muaminifu
5.Kuacha kuchangia damu isiyo salama
6.Kuacha kunyonyana ndimi nk.

TIBA YA UGONJWA WA HOMA YA INI.

1.Ugonjwa huu hauna tiba japo mgonjwa akiwahi hospitali atapatiwa dawa za kupambana na virusi hivyo ili kuvipunguza nguvu za kushambulia ini
2.Kupandikiza ini ambapo ini lililo athirika huondolewa na kuwekwa ini lingine japo ni vigumu kupata ini salama.
3.Wagonjwa waache kutumia pombe,madawa ya kulevya na vitu vingine vinavyochosha ini.
Ieleweke kwamba watu wengi wanaendelea kuambukizwa kwa kuwekewa damu yenye virusi hivyo hasa katika nchi ambazo hazina vifaa bora vya kuchunguza virusi hivyo katika damu.Virusi vya HBV vinauwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza kulinganisha na magonjwa kama ya ukimwi na kaswende pamoja na magonjwa mengine ya zinaa.Hata kiasi kidogo cha damu yenye virusi hivyo kama ile inayobaki kwenye wembe inaweza kupitisha virusi hivyo na tone la damu iliyokauka kwa juma moja au zaidi inaweza kumuambukiza mtu virusi hivyo.

MADHARA YA HOMA YA INI;

Madhara mengi huweza kumkumba mtu aliyepata maambukizi ya homa ya ini kwa mfano;
1.Shinikizo la damu
2.Kuathirika ubongo
3.Kupooza sehemu za mwili
Kama una maoni ama unahitaji Tiba
Tupigie kwa namba  0678626254 au
upate maelekezo jinsi ya kufika ofsini ndani ya Magomeni mwembechai. kama upo mkoani basi usihofu maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.
Gharama za dawa ni sh 165,000/= tu. 

Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa Whatsapp


Soma makala inayofuata:Jinsi  Kisonono/Gonorrhea inavosababisha ugumba kwa wanaume

Comments

Popular posts from this blog

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI, CHANZO NA TIBA YAKE

Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri  Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Kiwango cha uchafu unaotoka, ra

JINSI YA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATIZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME KWA KUTUMIA VYAKULA HIVI VI 5

Maelezo ya utangulizi. Kichocheo cha testosterone, japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume. .KAZI KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA , KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI. NINI KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE? Ili kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya ZINC na vitamin D3,  vitamini D inaweza kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa nazungumzia mwanga wa asubuhi wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi wet

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60