Skip to main content

KANSA YA TITI (BREAST CANCER) INATIBIKA SASA

Nafurahi sana siku ya leo pia umeamua kuungana nami katika makala zangu za afya ambazo zimekuwa zikipendwa sana na wasomaji wangu kutoka mikoa mbali mbali hapa Tanzania.
Hii yote ni kutokana na kuandika makala zenye kutoa elimu sahihi na yenye suluhisho kuhusu magonjwa sugu yanasemekana kuwa hayawezi kutibika.
Basi kama ni mara yako ya kwanza kuungana nami ktk jukwaa hili la elimu ya magonjwa tabia naitwa Boaz mkumbo ni mkufunzi na mtaalamu wa magonjwa mbali mbali hasa magonjwa tabia
.
Unaweza ukaungana nami katika makala zangu mbali mbali zilizopita moja kwa moja kwenye blog yangu ya afya  utajifunza mengi sana .Lakini kama upo facebook like page yangu ya afya ya mkumbo healthcare products.
Baada ya kuungana nami katika majukwaa yangu ya habari na elimu ya afya basi leo nakukaribisha ktk jukwaa la afya ya mwanamke ambapo leo tutaongelea kuhusu KANSA YA TITI(BREAST CANCER)
YAFUATAYO NITAYAGUSA KWA KINA.

  • Nini maana ya breast cancer.
  • Kuna utofauti gani ya kansa ya titi na uvimbe wa kawaida tu kwenye titi ambao sio kansa.
  • Visababishi vya kansa ya titi.
  • Vihatarishi vya kansa ya titi
  • Kusambaa kwa kansa ya titi
  • Namna ya kubaini kansa ya titi
  • Namna ya kutibu kansa ya titi
  • Namna ya KUISHI NA MTU MWENYE UGONJWA HUU.
  • Tafiti zinasema nini kuhusu ugonjwa huu ambao sasa ni tishie sana.
Nakukaribisha sana katika jukwaa hili la Afya

Kansa ya titi ni nini?:


Huu ni uvimbe ambao unatokea kwenye titi ambao huathiri ukuaji wa seli zinazounda titi na kusababisha zikue kwa kasi kubwa isivyo kawaida.
Seli hizi hutokea ambazo huathiriwa ktk ukuaji hupatikana sehemu zifuatazo:
~Kwenye tezi za titi
(Lobular carcinoma)
~kwenye mirija ya maziwa (tubular carcinoma)
~Kwenye chuchu ya titi
(Pagets disease of the nipple)
Hizo ni sehemu kuu tatu ambazo seli za titi huathirika na kuwa seli za kansa.
Hivyo basi kwa ujumla unaweza kusema kuwa kuna aina kuu tatu za kansa za titi kama nilivyo changanua hapo juu msomaji.

UTOFAUTI KATI YA KANSA YA TITI NA UVIMBE WA KAWAIDA KWENYE TITI.

Uvimbe ambao ni kansa ukuaji wake ni wa kasi sana ukilinganisha na uvimbe wa kawaida.
Mfano:Anaweza kuja rafiki yako anakueleza huu uvimbe upo hapo tangu miaka 5 iliyopita huwa unaongezeka lkn kidogo mno. Hapo utajua sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu.
Lakini pia rafiki yako anaweza kuja anakueleza nina uvimbe hapa akifunua unakuta titi limevimba sana na limekuwa kubwa ukimuuliza tangu lini huu uvimbe mbona unatisha...atakwambia umenianza miezi kumi tu uliopita ila linakuwa kwa kasi sana.
Huo uvimbe lazima ufikilie kuwa ni kansa labda uhakikishwe kwa vipimo vya maabara.
~Pia sio kila mtu anaye lalamika titi limevimba ni cancer sio ukweli.
Inaweza kuwa amepata maambukizi ya bakteria tu na kusababisha kuvimba kwa titi tunaita mastitis. Au inaweza kuwa ana jibu kwenye titi (breast abscess)
Hivyo haya yote unatakiwa uhakikishe mgonjwa wako hana ili kuhakikisha kuwa yale unayofikilia kuwa ni kansa ya titi kuwe na ukweli ndani yake.
Pia unatakiwa kumuuliza chanzo cha titi kukua au kuvimba kiasi hicho inaweza kuwa kuna ugomvi ulitokea ikapelekea mtu kupigwa na kuumizwa.
Hivyo usifikilie mbali tu kwamba kila uvimbe sasa unawaza huyu mtu ana kansa.


 ~Pia uvimbe wa kansa ukuaji wake ni kasi sana hata ukimuuliza mgonjwa atakusimulia historia fupi ya ugonjwa ukilinganisha na uvimbe mwingine ambao sio kansa.
Nimekuwa nikasema haya katika makala zangu na wasomaji wangu wengi huniuliza mkumbo sasa nitajuaje kuwa uvimbe huu ni kansa na sio kansa bila vipimo?
Napenda nikwambie kuwa leo basi ukizingatie elimu hii unaweza ukawa tabibu mzuri wa familia yako kupitia elimu hii ya mkumbo.
Pia uvimbe ambao ni kansa mwanzoni huwa hauna maumivu kabisa lakini ukisha fika hatua mbaya utakuwa na maumivu makali sana.
Sasa nasema haya kwa sababu ukitaka kujua hii sio kansa mwanzo ni KUTUMIA DALILI YA MAUMIVU.
Unakuta titi linauma na limeng'aa hapo moja kwa moja utajua kuwa inaweza kuwa ana maambukizi tu yani mastitis au ana jipu kwenye titi breast abscess.
Hivyo basi kwa hatua za mwanzo uvimbe wa kansa huwa hauna maumivu yoyote mpendwa msomaji wangu. Na ukikuta unapata dalili zenye maumivu makali na una kauvimbe na ni siku chache tu kametokea usianze kuhangaika na kupatwa na msongo wa mawazo kuwa una uvimbe kama KANSA.

VISABABISHI VYA KANSA YA TITI.
Mpendwa napenda nikwambie kuwa hadi sasa ninavyo andika hii makala bado kisababishi mahususi cha kansa ya titi hakijulikani kabisa ni nini!!!!
Hivyo basi kutokana na hayo napenda nikupe makundi ya watu ambao wapo hatarini kupata kansa ya titi hapa duniani.
~Mwanamke yupo hatarini kuzidi mwanaume
~Mwanamke yeyote ambaye yupo kwenye umri wa kubarehe hadi kikomo cha hedhi.
~Wanawake wazungu wapo hatarini kuzidi africa(lakini mwanamke wa kiafrica wako hatarini kupata kifo cha kansa ya titi kuliko wazungu)
~Mwanamke ambaye aliwahi sana kuingia kwenye kubarehe.
~Mwanamke ambaye amechelewa kufikia kikomo cha hedhi
~Mwanamke mwenye UZITO MKUBWA KUPITA KIASI
~Mwanamke anayependelea kula vyakula vya mafuta mabaya....bad cholesterals(mafuta yatokanayo na nyama)
~Wenye magonjwa km HIV,KISUKARI ambayo hushusha kinga ya mwili.
~Kuchelewa kupata mtoto na kutokupata mtoto kabisa
~Nchi zilizo endelea zipo hatarini sana kupata aina hii ya kansa kuliko nchi zinazo endelea km tanzania.
~kurithi kama kuna mtu katika ukoo wenu ana aina hii ya kansa unaweza kupata chembe chembe za urithi ya kansa hii ambavyo ni BRCA1 na BRCA 2.
~Kuwa na VICHOCHEO VYA ESTROGEN VINGI NDANI YA MWILI WAKO KWA MUDA MREFU.
~Ulaji wa vyakula vya viwandani hasa vyenye sukari nyingi, rangi na vilivyowekewa radha na kusindikwa.
Hivyo ni baadhi ya VITU HATARISHI VINAVYOWEZA KUKUSABABISHIA KUPATA KANSA YA TITI.
NOTE: Ndugu msomaji hivyo hapo juu sio visababishi ni VIHATARISHI VYA WEWE KUPATA AINA HII YA KANSA.
Hivyo basi endelea kujua kuwa kuepuka aina hii ya kansa ni kuviepuka hivyo visababishi.
KUSAMBAA KWA KANSA YA TITI.
Ndugu mpendwa ninapo ongelea kusambaa kwa kansa ya titi nitakuwa mchoyo sana wa elimu km nisipokuambia namna gani kwanza unaweza kuzuia kansa yako isifikie hapa.
~TUNAKUSHAURI UPATE KIPIMO TUNAKIITA MAMMOGRAPHY ambacho ni  SCREENING TEST.
Lugha nyepesi ya neno screening ni kitendo cha kubaini ugonjwa kutoka kwa watu wazima.
Mfano:Unaweza ukawakusanya watu mia moja wamejipanga ukaanza kuwafanyia hicho kipimo..miongoni mwao watabainika na kansa ya titi hatua ya mwanzo lakini walikuwa hawajijui kuwa ni wahangwa wa huu ugonjwa.
Hivyo kitendo cha kubaini watu wagonjwa kutoka kwenye watu wazima ambao hawana dalili zozote tunaita screening.
Sasa kuna kifaa ambacho hutumika kubaini wagonjwa wa kansa ya titi katika hatua za mwanzo kabisa ambapo inaweza kutibika kutoka kwa watu wazima tunaita ni MAMMOGRAPHY (PICHA YA TITI.) Hiki kipimo kinatumika kubaini uvimbe wa hatua za mwanzo kabisa hivyo kwa teknolojia yetu ndicho ambacho tunatumia.
Nakushauri ujijengee tabia ya kucheki afya yako ya titi kila mwaka ili kujiepusha na matatizo haya.
INGAWAJE!!!
Hadi sasa wenzetu wenye technolojia za juu katika tiba bado wamefikia kusema kuwa kipimo hiki hakina msaada sana tofauti na KUBADILI MWENENDO WA MAISHA.
Maana hata km ukipimwa ukikutwa na kansa hakuna kitakacho fuatia tofauti na kuhangaika kuitibu na usipofanikiwa badi.
Hivyo kikubwa ni KUBADILI MWENENDO WETU KUYAEPUKA YALE NILIYO YATAJA RAFIKI.
Sasa endapo ukachelewa kubaini uvimbe huu unaweza kusababisha  kusambaa sehemu mbali mbali km kifuani,kwenye ubongo,kwenye mifupa nk.
Hivyo tujitahidi KUCHEKI AFYA ZETU KILA MWAKA KUBAINI UVIMBE HUU HATARI MAPEMA UKIWA HATUA ZA MWANZO


DALILI ZA KANSA YA TITI.
~Uvimbe wowote ule kwenye titi hakikisha unautilia maanani kujua ukweli wake
~Kutokwa na maziwa, usaha na damu au damu imechanganyika na usaha.
~Titi kubalika rangi linakuwa linang'aa na kupoteza vinyweleo
~Pia titi linaweza kubadirika na kuwa jiusi sana
~Kupata maumivu makali km imefikia hatua mbaya.
DALILI ZINAZO ONESHA KANSA IMEANZA KUSAMBAA HATUA MAHUSUSI ZICHUKULIWE
~Kukohoa sana na upumuaji wa shida.
(Inaonesha kansa imesambaa kifuani kwenye mapafu)
~Mifupa kudhoofika na kuuma.
~Kupata matitizo ya ubongo (kupoteza fahamu, kupalalaizi nk)
~Kuvimba kwa tezi za mfumo wa kinga za mwili..kwapani na sehemu zingine
Hizo ni dalili ambazo
zinaonesha kansa imesambaa kwenye mapafu,mifupa na ubongo.
NOTE: UNAPOSEMA KANSA  IMESAMBAA LAZIMA KUWEPO NA UVIMBE UNAONESHA KUWA MTU ANA KANSA YA TITI (CHANZO) NDIPO TUNAWEZA KUSEMA IMESAMBAA 
 NJIA ZA KUBAINI UGONJWA HUU WA KANSA YA TITI.
Ndugu msomaji napenda basi niguse kidogo njia ambazo unaweza kuzichukua ili kuubaini ugonjwa huu wa kansa ya titi.
Zifuatazo ni hatua kwa hatua ambazo unaweza KUZITUMIA
~Hakikisha unapata historia nzuri ya ugonjwa wako, ili kuweza kutofautisha na uvimbe mwingine wa kawaida.
~Hakikisha unajichunguza wewe mwenyewe vizuri.
Unaweza kumwomba mtu akuchunguze kwa kufuata hatua hizi kuu mbili:
��Lala kitandani chali, kisha mwambie rafiki yako atumie mkono wake wa kulia kupapasi juu,juu na kisha kuingia mpaka ndani.,Pia ajaribu kuchezesha titi km linacheza vizuri (free or movable at the base) hapo utakuwa upo vizuri, pia km hakuna aina yoyote ta uvimbe alio ubaini.
DALILI MBAYA
~Kubaini kauvimbe kokote kwenye titi
~Titi halitembei kwenye kitako.
NJIA YA PILI
Kaa kwenye kiti au kitanda kisha nyanyua mikono juu kisha mwambie rafiki yako akuchunguze, vitu hatarishi ni hivi:
~KUONA DIMPO KWENYE TITI
~CHUCHU PIA UNAKUTA ZIMEINGIA NDANI(NIPPLE RETRACTION )
Hizo ni dalili mbaya kwa mchunguzi atakapo toa taarifa.
Basi sitapenda kuongea mengi sana lakini hayi ni machache kuhusu namna gani nimejibu swali lako ambalo kila siku wananiuliza .nitawezaje kujitambua nina uvimbe kwenye titi nikiwa ndani kwangu.
Basi njia zingine za KUBAINI KANSA YA TITI HATUA AMBAZO NI MBAYA NI KUTUMIA PICHA YA TITI.
KAMA ULTRASOUND YA TITI WANAWEZA KUBAINI KM NI UVIMBE AU KUNA VINGINE NDANI YAKE.
PIA MAABALA UNAWEZA KUCHUKUA SAMPULI KUTOKA KWENYE UVIMBE ULE, SAMPULI INAWEZA KUCHUKULIWA KWA KUTUMIA SINDANO BILA GANZI (Hufanyika wodini tu ) au kwa kuchukua kipande cha NYAMA kuoeleka maabala (Hufanyika kwenye chumba cha upasuaji kwa kutumia usingizi mzito).
Ndugu msomaji napenda kukuambia kuwa ugonjwa huu ni mpana sana na hadi sasa visababishi vyake havijulikani bali vihatarishi ndio vingi...lakini una nafasi vya kuviepuka kabisa
 KIPIMO AMBACHO UNAWEZA KUPIMA KANSA IMEFIKIA PABAYA.
Kuna vipimo vya aina mbali mbali au naweza kusema ni vigezo ambavyo jopo la wana sayansi walikaa na kukubaliana kwa pamoja ili duniani kote vigezo hivyo vikitamkwa vitambulike na kila mtaalamu wa afya.
Sasa rafiki yangu usije ukasema niliambiwa na mkumbo bali ujue kuwa haya ni makubaliano ya wanasayansi duniani kote.
leo nataka nikufundishe kigezo kimoja CHEPESI KABISA.
Hiki ni kigezo ambacho kinapima jinsi gani kansa imefikia katika mwili wako rafiki.
Ambapo sasa inachunguza vigezo 3.
1.Ukubwa wa UVIMBE KATIKA TITI
2. TEZI ZILIZOFIKIWA NA KANSA.
3. KUSAMBAA KWA KANSA.
MCHANGANUO HUU  UNAITWA KITAALAMU TMN CLASSIFICATION
T~Tumor (uvimbe)
N~Lymph nodes(Tezi)
M~Metastasis(kusambaa kwa seli kansa )
1. UKUBWA WA UVIMBE
Ukubwa wa uvimbe umechanganuliwa nao kwa kutumia vigezo vyake rafiki km ifuatavyo
T0~Huyu hana uvimbe kabisa kwenye titi hata kwa kutumia kile kifaa cha screening.
Tx~Huyu ana uvimbe lakini tunashindwa kuufikia kwenye titi
T1-Huyu ana uvimbe ambao ni chini ya sm 2
T2-Huyu ana uvimbe ambao ni kati ya sm 2-sm 5
T3-Huyu ana uvimbe ambao ni zaidi ya sm 5
T4- huyu ana uvimbe ambao ni mkubwa mno umeanza kuvamia hadi misuli ya kifuani.
2. TEZI
Basi tunapenda kujua pia kama kansa hii ya titi imeanza kusambaa au laa.
Tunaweza kubaini hii hali kwa kuchunguza kuvimba kwa tezi za kwapani.
Napo kuna mchanganuo wake na una maana yake wapendwa
N0- Hakuna kabisa tezi hizi hazifikiwa
Nx- tezi hizi zimefikiwa lakini hazijakua
N1- Tezi za upande mmoja wa titi husika zimefikiwa na zipo zinacheza ukizigusa
N2: Tezi za upande mmoja zimefikiwa na hazichezi
N3 - TEZI ZA UPANDE WOTE WA TITI KWAPANI ZIMEFIKIWA.
Basi naomba nihamie kwingine.
3. KUSAMBAA KWA KANSA.
Hapa tunatumia michanganuo miwili tu.
M0: Kansa haijasambaa
M1: Kansa imesambaa kwenda labda kwenye mapafu,ubongo,mifupank
DHUMUNI LA KUJUA MCHANGANUO HUO NI KM IFUATAVYO
~Unatuwezesha kujua hatua ya ugonjwa ulipo fikia
~Unatuwezesha kujua namna gani huyu mgonjwa tumtibu.
MFANO:
~MTU KAPIMWA KAAMBIWA ANA MAJIBU HAYA
T0N0M0
Maana yake huyu yupo poa kabisa
T1N0M0
Maana yake huyu ana uvimbe upo chini ya sm 2 lakini tezi hazifikiwa na kansa haijasambaa.
Nazani mpendwa msomaji UNAWEZA KUWA UMEPATA PICHA NAAMANISHA NINI KUHUSU KUJUA MCHANGANUO HUU...NILITAKA KUKUPA PICHA WANAPOSEMA KUWA KANSA STAGE 1,2,3,4 HUWA WANA MAANISHA NINI KWA UJUMLA NA HUWA WANACHUNGUZA VIGEZO GANI. NAZANI KUPITIA MAKALA YANGU HII UMEJIFUNZA KITU RAFIKI.
Kuna aina nyingi sana za kuchanganua kansa pia kuna kuchanganua kwa kutumia majibu ya maabara lakini sitapenda kuzungumzia sana maana picha halisi umepata ndugu yangu.
STAGE 1~~ T1N0MO,T2N0M0
STAGE TWO~ T2N1M0
AU T3N1M0
STAGE THREE
T3N2MO au T3N2M1
STAGE FOUR
TAYARI KANSA IMESAMBAA NA HAKUBA NAMNA.
KIDOGO HAPO JUU UNATAKIWA UKAE UTULIE MSOMAJI WA MAKALA ZANGU.
LAKINI LENGO PALE NILITAKA KUKUONESHA VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUSEMA HII NI KANSA STAGE FLANI WANAZINGATIA VIGEZO VITATU KM NILIVYOSEMA HAPO JUU.

MATIBABU;
Kwa ujumla kansa hutibiwa kwa njia kuu nne kulingana na stage rafiki msomaji.
~Njia ya operation
Kuna operation ndogo ya kuondoa kauvimbe kadogo (lampectomy) au kuna operation kubwa ya kuondoa titi lote (mastectomy)
~Njia ya dawa za kansa
Kama Cyclophosphamide, flurouracil na Methotreaxate.
Dawa hizi pia hupewa wagonjwa baada ya operation kumaliza chembe chembe za seli za kansa zilizobaki
~Njia ya mionzi.
Hii ni mionzi mikali ambayo huruhusiwa kugonga moja kwa moja kwenye uvimbe husika na kuua seli za kansa. pia njia hii hupatiwa watu baada ya kupata operation au ambao wapo hatua mbaya ya kansa
~Njia ya mwisho ni NJIA YA KUTIBU DALILI TU KUKUWEZESHA UISHI ANGALAU MIAKA MICHACHE MBELE (PALLIATIVE CARE)
Hapa utakuwa unapata dawa za maumivu,utapewa mionzi na dawa za kansa lakini hali ndivyo mbaya.
NOTE:
Dawa hizi za kansa huja na madhara mengi sana
~Kushusha kinga ya mwili
~Kunyonyoa nywele
~Kumaliza damu
~kumaliza nguvu za kiume
Na madhara mengine mengi hivyo na hizi dawa HUTUMIKA MAISHA YAKO YOTE MAANA DAWA HIZI NDIO UHAI WAKO.
LAKINI KUTOKANA NA CHANGAMOTO ZIFUATAZO
~Dawa za kansa ndio dawa pekee ambazo ni za gharama kuzidi dawa za aina yoyote duniani.
~Dawa za kansa ni dawa zenye madhara makubwa kuzidi dawa za aina yoyote hapa duniani
Tafiti zinazidi kuongezewa hadi sasa nchi zinazo endelea zinazidi kushindana na kupunguza kasi ya kukua kwa makampuni ya kibillionaire yanayo zalisha vidonge vya kansa kwa kuanza kuzalisha mbadala wake
~BEI RAHISI
~HAZINA MADHARA KWA MTUMIAJI
~ZENYE KUBORESHA KINGA YA MWILI NA SIO KUBOMOA.
Unaweza kupata bidhaa mbali mbali na ukazisoma kwa kina au kutembelea ktk ofisi zetu utakuja ujifunze bidhaa mbali mbali za ASILI KUTOKA CHINA NA THAILAND ZINAVYOWEZA KUUA SELI ZA KANSA BILA MADHARA MAKUBWA KM DAWA ZA KEMIKALI.
BIDHAA HIZI NI KAMA ZIFUATAZO
~Unga wa ginsenoside wenye viini vikubwa kama RG3 Na RH3
Vina uwezo mkubwa wa kuangamiza kuangamiza seli za kansa bila kuathiri kinga ya mwili.
Viini hivi vinajulikana kama MFALME WA UVIMBE Baada ya nchi kama chini kutumia kwa muda mrefu sasa mimea hii inapatikana katika mfumo wa vidonge wa kisasa kabisa.
Mbali na kuangamiza seli za kansa pia HUONGEZA KINGA YA MWILI NA KUIMARISHA AFYA.
Pia rafi yangu tutakupatia vidonge 60 vya uyoga mwekundu maana nimekwambia mwanzo mafuta mabaya ya cholesteral ni chanzo cha uvimbe huu, mbali na kuondoa cholesteral uyoga mwekundi unatibu magonjwa mengi mno na kurudisha afya yako na kinga ya mwili wako ulio dhoofika.
Sitasahau pia KUKUPATIA BIDHAA ADIMU SANA AMBAYO NDIO IMESHIKA NAFSI ZA JUU KABISA KWWNYE JUKWAA LA MATABIBU KATIKA KUTUMIA KIINI CHEKUNDU YANI LYCOPENE KATIKA KUZUIA KANSA NA KUTIBU KANSA.
SASA UTAPATA VIDONGE VILIVYO TENGENEZWA KWA KUTUMIA KIINI CHEKUNDU CHA NYANYA HAPA HAPA TANZANIA.
Nitapenda UWE MMOJA YA WATU WANAOFURAHIA BIDHAA ZETU RAFIKI, KANSA INATIBIKA, WAHI MAPEMA KABLA HAIJAFIKIA HATUA MBAYA KABISA.
BIDHAA ZETU UNAWEZA KUTUMIWA MKOA WOWOTE ULIPO RAFIKI HAIHITAJI KUSAFILI KUFUATILIA TIBA.
DOSE: INATEGEMEA NA HATUA YA UGONJWA WAKO BAADA YA KUJADILI NA MIMI KUPITIA SIMU/ANA KWA ANA NITAKUPA MAELEKEZO
Usisite kutupigia kwa namba 0762336530
UTAFITI UNASEMAJE KUHUSU TIBA NA VIRUTUBISHO VYA KUSAWAZISHA HOMONI ZA KIKE.
1. Zinc capsules
Kwa wanawake, MADINI YA ZINC yanahusika katika ukuuaji wa yai (oocyte). Kama mwanamke atakuwa na upungufu wa zinc, yai halitakomaa vizuri na utolewaji wa yai (ovulation) utazuiliwa , na kusababisha ugumba. Kiwango cha zinc cha kutosha kunamwezesha mwanamke kutumia estrogen na progesterone vizuri. hakikisha unapata virutubisho kutoka kwenye vyanzo vilivyothibitishwa.
2. Soy capsules

vidonge hivi vilivyotengenezwa kiasili kwa kutumia viambata vya mimea ya Semen Glycine, Radiz Paeoniae Alba Eztractum na Ganoderma husaidia: kuongeza ufanyaji kazi wa mfuko wa mayai (ovaries), kuzuia Saratani ya matiti, kuimarisha afya ya mifupa kwa wanawake waliokoma hedhi.(menopause). 
VIRUTUBISHO VYOTE HIVI VINAPATIKANA OFSINI KWETU, NDANI YA CHINGA COMPLEX, KARUME  DAR ES SALAAM KWA GHARAMA YA SH 155,000/=  hivo huhitaji kuagiza nje ya nchi, tayari tumefanyia vipimo na vimethibitishwa kutibu matatizo ya ugumba na homoni.


Usisahau kushare post hii na ndugu na marafiki zako waelimike.

Comments

Popular posts from this blog

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI, CHANZO NA TIBA YAKE

Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri  Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Kiwango cha uchafu unaotoka, ra

JINSI YA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATIZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME KWA KUTUMIA VYAKULA HIVI VI 5

Maelezo ya utangulizi. Kichocheo cha testosterone, japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume. .KAZI KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA , KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI. NINI KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE? Ili kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya ZINC na vitamin D3,  vitamini D inaweza kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa nazungumzia mwanga wa asubuhi wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi wet

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60