Je una shaka kuusu shinikizo lako la damu? Je upo kwenye usalama ama hatari??, kama unamaswali mengi juu ya presha ya damu basi hauko peke ako, watu wengi wanaishi bila kufahamu shinikizo lao la damu, nashauri kama unahitaji kuwa na afya nzuri basi hakikisha unafahamu kiwango cha presha yako ya damu. KWANN NI MUHIMU KUFAHAMU Presha ya damu iliyo ya kawaida ni kipimo kizuri cha afya ya moyo. Kiwango cha damu kinachosukumwa na pia uwezo mzuri wa mishipa ya damu kutanuka na kusinyaa.hivo presha ya damu inaweza kuongezeka endapo kuna kiwango kikubwa cha damu ama mishipa haiwezi kutanuka vizuri, hali hii ni ya kawaida kwani hutokea sana pale mtu anapofanya mazoezi, tatizo linakuja endapo hali hii ikawa ni ya mwendelezo.. Hapo moyo unahitaji kufanya kazi kubwa sana ili kufanya damu iendelee kutembea mwili. Kikawaida Namba mbili hutumika kupima presha ya damu, systolic na diastolic. Kama systolic ni 120-139 mmHg na diastolic ni 80-89mmHg basi upo kwenyq hatari ya kupata sh...
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake