Skip to main content

UNACHOTAKIWA KUFAHAMU KUUSU SHINIKIZO LA DAMU.(Bp)

Je una shaka kuusu shinikizo lako la damu? Je upo kwenye usalama ama hatari??, kama unamaswali mengi juu ya presha ya damu basi hauko peke ako, watu wengi wanaishi bila kufahamu shinikizo lao la damu, nashauri kama unahitaji kuwa na afya nzuri basi hakikisha unafahamu kiwango cha presha yako ya damu.
KWANN NI MUHIMU KUFAHAMU
Presha ya damu iliyo ya kawaida ni kipimo kizuri cha afya ya moyo.
Kiwango cha damu kinachosukumwa na pia uwezo mzuri wa mishipa ya damu kutanuka na kusinyaa.hivo presha ya damu inaweza kuongezeka endapo kuna kiwango kikubwa cha damu ama mishipa haiwezi kutanuka vizuri, hali hii ni ya kawaida kwani hutokea sana pale mtu anapofanya mazoezi, tatizo linakuja endapo hali hii ikawa ni ya mwendelezo.. Hapo moyo unahitaji kufanya kazi kubwa sana ili kufanya damu iendelee kutembea mwili.  
Kikawaida Namba mbili hutumika kupima presha ya damu, systolic na diastolic.
Kama systolic ni 120-139 mmHg na diastolic ni 80-89mmHg basi upo kwenyq hatari ya kupata
shinikizo kubwa la damu.
KAMA SHINIKIZO LAKO NI KUBWA BASI FAHAMU KUWA KUNA NJIA NYINGI ZA KUPUNGUZA UKIWA NYUMBANI KWAKO
1.       SHUUGULISHA MWILI NA FANYA MAZOEZI ZAIDI YA KUTEMBEA
Mazoezi ni moja ya silaha kubwa katika kurekebisha shinikizo lako la damu na level ya homini ya insulin. Panga kutembea hatua kuanzia 7000 mpaka 10000 kwa siku.
2.       Epuka msongo wa mawazo
3.       Usitumie vyakula na vinywaji vilivyosindikwa; vyakula vingi vilivyosindikwa vina sukari nyingi, chunvi na mafuta mabaya vyote hivi vinaathiri shinikizo lako la damu kwa kiasi kikubwa
4.       Hakikisha unapata vkiwango kizuri cha vitamin D, kwa kupata mwanga mwingi wa jua.
5.       Lishe yenye matunda na mboga mboga pia husaidia kusawazisha shinikizo lako la damu.

Ukiwa na maoni ama unahitaji tiba basi wasiliana nasi kwa ujumbe mfupi ama whatsapp kupitia namba 

0714206306 

. uweze kupata maelekezo ya kufika ofsini kwetu ambapo tutakupa huduma ya virutubisho na dawa ya kupunguza shunikizo la damu kwa sh 140,000 /= tu

 kama upo mkoani basi ondoa shaka maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.


Soma Makala inayofuata: Uzito Mkubwa na kitambi ni Tishio. Hupelekea magonjwa kama kisukari, presha na upungufu wa nguvu za kiume

Comments

Popular posts from this blog

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI, CHANZO NA TIBA YAKE

Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri  Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu z...

JINSI YA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATIZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME KWA KUTUMIA VYAKULA HIVI VI 5

Maelezo ya utangulizi. Kichocheo cha testosterone, japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume. .KAZI KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA , KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI. NINI KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE? Ili kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya ZINC na vitamin D3,  vitamini D inaweza kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa nazungumzia mwanga wa asubuhi wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi...

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60...