Skip to main content

UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA


WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI?


Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.
ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles.
Tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30 mpaka 50


AINA ZA BAWASIRI

Kuna Aina kuu mbili za bawasiri

(A) BAWASIRI YA NDANI

Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyewe ndani baada ya kujisaidia.
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe.
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

(B)BAWASIRI YA NJE

Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO

chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo ni vihatarishi  kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
1.       KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
2.       KUHARISHA KWA MUDA MREFU
3.       KUTOPATA CHOO KWA MDA MREFU
4.       MATATIZO YA UMRI
5.       KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
6.       UZITO KUPITA KIASI
7.       MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU

      DALILI ZA BAWASIRI
  • Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  • kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
  • kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  • kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
  • kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia
1.       KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
2.       KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
3.       EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
4.       Epuka vyo vya kukaa

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI

1.    kupata upungufu wa damu (anemia)
2.    Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
3.    Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume na Kukosa hamu ya tendo la ndoa  kwa wanawake
4.    kuathirika kisaikolojia
5.    kukosa moral ya kufanya Kazi  na maumivu makali


TIBA NA USHAURI KWA MGONJWA WA BAWASILI

¤ Mgonjwa anatakiwa kutumia vyakula aina ya kambakamba kwa wingi.

¤ kutumia maji mengi kwa siku,

¤ kujisaidia mara moja bila kujibana pindi ajisikiapo kujisaidia.

¤ kufanya mazoezi ya mwili.

¤ pindi tatizo linapozidi kua kubwa mgonjwa hupewa dawa kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu.

Hili ni tatizo linalosumbua watu wengi sana katika jamii,humkosesha mtu amani kabisa hadi kufikia

wagonjwa wengine kushindwa kukaa na kuvuja damu nyingi mpaka kulazwa hospitali kwa mda mrefu.


Tiba ya tatizo hili kwa kutumia vidonge vilivyotengenezwa kwa mimea na mafuta ya black seed.

Dawa zetu huondoa uvimbe wowote ulio katika mfumo wa chakula,ikiwa na maana kua endapo kama kutakua na dalili za bawasili (uvimbe kwenye hajakubwa) ,

pia hufanya kazi ya kurekebisha mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula na kumfanya mtu apate choo kwa ulaini na bila maumivu, kutibu vidonda vya tumbo na kuondoa tatizo la kiungulia ama acid 
reflux.

Dawa hizi ni dawa asili zenye nguvu (strength) ya 300mg.hivyo utavitumia vidonge hivi asili kwa muda wa siku 30 tu . na kisha hali yako kutengamaa.

Dawa hizi ni matokeo baada ya kupembuliwa kwa umakini kile kiini tiba  na kuwekwa katika mfumo salama na rahisi kwa matumizi ya mgonjwa.

NB: Chemotherapy ama operation kwa kukata sehemu iliyoota inafeli mara nyingi kutibu tatizo hili kutokana na kwamba tatizo hujirudia tena na tena. hivo tunashauri Tumia hizi dawa kwa muda wa siku 30, huku ukifata ushauri wa kitaalamu ambao tutakupa juu ya matumizi ya vyakula, tatizo litakuwa limekwisha kwa gharama ya sh 85,000 tu. usjali kuhusu gharama kutokana na kwamba dawa zetu zina uhakika wa kumaliza tatizo.


Tupigie kwa namba 0678626254
 

Gharama za Dawa ni Tsh 125,000/=


Ofisi zetu zipo Mwembechai Plaza, Magomeni Mwembechai.
Kama upo mkoani ama nje ya nchi basi ondoa shaka maana utatumiwa dawa baada ya kufanya malipo.
kumbuka kushare makala kupitia ukurasa  wa facebook ili kuwasaidia wengine wenye tatizo hili.
marafiki zako waelimike.

Bofya hapa Kuchati na Daktari kwa Whatsapp

Usikose kufuatilia makala yetu inayofuata: Jinsi ya kuondokana na tatizo la kukosa choo ama kupata choo kigumu kupitia lishe pasipo kumeza vidonge

Comments

Popular posts from this blog

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI, CHANZO NA TIBA YAKE

Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri  Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu z...

JINSI YA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATIZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME KWA KUTUMIA VYAKULA HIVI VI 5

Maelezo ya utangulizi. Kichocheo cha testosterone, japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume. .KAZI KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA , KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI. NINI KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE? Ili kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya ZINC na vitamin D3,  vitamini D inaweza kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa nazungumzia mwanga wa asubuhi wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi...

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60...