MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU UGONJWA WA GOUT Gout ni aina ya ugonjwa wa arthrits ambao anaambatana na maumivu makali kwenye joint, kuvimba kutokana na mrundikano wa uric asidi ambayo hujikusanya na kufanya kama jiwe gumu kwenye joint. Hapo zamani gout ulijulikana kama ugonjwa wa wafalme (a disease of Kings) kutokana na unywaji wao wa pombe na vyakula vya kukidhi raha zao. Mfalme Henry wa VIII wa Uingereza ni mmoja ya wafalme waliougua ugonjwa huu. Alexander the great, Christopher columbus, Sir Isaack newton ni baadhi ya watu maarufu ambao waliugua ugonjwa wa Gout.kibaya zaidi ni kwamba namba ya watu wanaougua ugonjwa huu kwa sasa inaongeza taratibu haijalishi unatoka familia ya kitajiri ama laa. GOUT NI NINI HASA Huu ndio ugonjwa wa joints ambao huwashambulia sana na kuwapa maumivu makali wanaume. Wanawake pia huweza kuathirika na ugonjwa huu hasa baada ya kukoma hedhi. Ugonjwa huu huleta maumivu makali ya ghafla, hasa kwenye sehemu linapoanzia dole gumba la mguu. Dalili za u...
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake