MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU TATIZO LA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE Nimekuwa Napata kesi nyingi sana kutoka kwa akina mama hasa wenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea wakihitaji msaada kwenye ndoa zao, maana hawafurahii tendo la ndoa kama vile inavotakiwa. Tatizo linazidi kuongezeka kwa kasi na wengi hawafahamu chanzo cha tatizo hili hivo inakuwa vigumu kulitibu. Leo tutaongelea chanzo cha tatizo na jinsi ya kuepuka na kulitibu ili uendelee kufurahia unyumba. Wanawake hawakuumbiwa matatizo ya kiafya. SABABU ZA KUPATA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria . Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ...
Blog hii inakupa maelezo juu magonjwa tabia(lifestyle disease) ama magonjwa ya lishe , visababishi vyake na namna ya kuepuka magonjwa haya kwa kutumia vyakula na virutubisho asili Pia utapata ushauri na tiba juu ya magonjwa ambayo yamekusumbua kwa mda mrefu. Baadhi ya magonjwa yanayotibika na dawa zetu za mimea ni Kisukari, Vidonda vya tumbo, Upungufu wa nguvu za kiume, uvimbe, ugumba na magonjwa mengine ya wanawake