Skip to main content

MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE.

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU TATIZO LA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE


Nimekuwa Napata kesi nyingi sana kutoka kwa akina mama hasa  wenye umri kuanzia miaka 25 na kuendelea wakihitaji msaada kwenye ndoa zao, maana hawafurahii tendo la ndoa kama vile inavotakiwa. Tatizo linazidi kuongezeka kwa kasi na wengi hawafahamu chanzo cha tatizo hili hivo inakuwa vigumu kulitibu. Leo tutaongelea chanzo cha tatizo na jinsi ya kuepuka na kulitibu ili uendelee kufurahia unyumba. Wanawake hawakuumbiwa matatizo ya kiafya.

          SABABU ZA KUPATA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA


  1.     KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo.
  2.    Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo. Kutoka kwa mbegu za kiume muda mfupi  au saa kadhaa baada ya tendo ni dalili kuu ya tatizo hili. Pia mwanaume anapogonga shingo hii ya kizazi mwanamke huwa kama anatoneshwa kidonda. Hali hii ya mbegu kurudi nje husababisha mwanamke kutoshika ujauzito.
  3.    Kuwa na uvimbe kwenye mji wa mimba/mfuko wa uzazi (Uterus). Uvimbe huu kitaalam hujulikana kwa majina mengi lakini `fibroid` ni maarufu Zaidi. Huanza kama mbegu ndogo ya mchicha na hukua kama boga kubwa. Mwanamke huongezeka ukubwa wa tumbo na baadaye huonekana kama ana mimba kubwa na watu hushangaa kwa nini hajifungui kipindi chote.
  4.    Maumivu wakati wa tendo hasa chini ya kitovu huashiria tatizo kwenye mirija ya uzazi. Yawezekana ikawa ni tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji machafu kutokana na kuzaliana kwa bacteria wabaya  eneo hilo, tatizo ambalo hujulikana kitaalam kama Hyrosalpinx.
Kitu hiki husababisha mirija ya uzazi kuziba kwani maji haya huwa mazito, kitu ambacho husababisha mayai ya uzazi na mbegu za kiume kushindwa kupenya. 
Kutoshika mimba kwa mwanamke aliye kwenye ndoa au uhusiano kwa zaidi ya mwaka mmoja na anasikia maumivu ya aina hii ni kiashiria kikubwa cha tatizo hili.
Kumbuka matatizo ya uzazi unayokutana nayo kama maumivu makali kipindi cha hedhi, ugumba, kukosa hamu ya tendo la ndoa, kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa, mpangilio mbaya wa hedhi, uzito mkubwa na kitambi  siyo kitu ulichoumbiwa, bali ni matokeo ya Maisha unayoishi .kwa kifupi matatizo yote haya chanzo chake kikubwa ni kuvurugika kwa homoni za kike au hormonal imbalance. Matatizo haya siyo kwamba ni mabadiliko ya vinasaba kutokana na umri, ila ni matokeo ya mpangilio mbovu wa vichocheo ama homoni zako na hasa homoni za uzazi. Hivo utakubaliana nami kwamba wanawake hawajaumbiwa kupata shida hizi zote hata kama umri wako umeenda, unahitaji kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Sawazisha mpangilio wako homoni zako na matatizo yote haya utakuwa umeyakimbiza.

DALILI ZIFUATAZO ZINAASHIRIA KUVURUGIKA KWA HOMONI ZAKO.
Hivo unatakiwa kutumia dalili hizi kujifanyia uchambuzi wewe mwenyewe bila hata kufanya vipimo hospitali tayari utagundua kuwa una tatizo kwenye vichocheo ama homoni zako
   2.       Tumbo kujaa gesi na kuhisi umeshiba mda mwingi
   3.       Maumivu ya kichwa na kujuskia haupo kwenye mood nzuri
   4.          kupata msongo wa mawazo mara kwa mara kwa mara
   5.     Ugumba ma kutoshika mimba kwa kipindi kirefu
   6.      Kukosa hamu ya tendo la ndoa na kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
   7.       Kuhisi mwili umechoka mara kwa mara
   8.       Kuota ndevu na nywele kifuani 
   9.       Kupungua kwa uwezo wa kumbukumbu
   10.   Kutokwa jasho jingi usiku na
   11.   Ngozi kukakamaa
   12.   Kukosa usingizi
   13uvimbe katika mifuko ya mayai (ovarian cyst)


 Baada ya kujifanyiaupembuzi juu ya tatizo lako sasa tuangalie nini cha kufanya ili uweze kutibu dalili hizi kuanzia leo ukiwa nyumbani kwako.

ANZIA JIKONI KWAKO (LISHE /CHAKULA NI SEHEMU YA KWANZA YA KUREKEBISHA)
Nataka nikwabie mpenzi msomaji na unayefatilia Makala hizi kwa makini, kwamba vitu tunavyoweka tumboni vianchangia karibu 80% ya kuvurugika kwa mpangilio wa homoni zako. Unatakiwa kuwa mvumilivu maana kusawazisha homoni ni kitu endelevu na kinachukua kuda kutokana na kwamba unajenga tabia mpya kwenye mwili wako. Hivo hatua ya kwanza katika kupangilia lishe na cmlo wako ni
Kuondoa ama kufuta vyakula vambavyo ni hatar kwa mwili wako. Vyakula hivi ni kama sukari, pombe, ngano, na vyakula vilivyosindikwa.unachotakiwa kufahamu ni kwamba chakula kibovu huletekeza kuvurugika kwa vichocheo ama homoni zako, mfano unapokula sikari kwa wing ama vyakula vya sukari mwili mwili kupitia kongosho hutoa insulin kwa wingi ili kubadilisha sukari kuwa mafuta yanayohifadhiwa mwili, mwili pia unazalisha homoni zingine kwa wingi kama estrogen na testosterone. Vyakula vya ngano pia vyenye protin inayoitwa gluten vinaharibu m[pangilio wa homoni zako. Kemikali zinazobaki kwenye vyakula baada ya kupuliza madawa ya kuua wadudu kwenye mimea ni kihatarishi kikubwa cha homoni.

Baada ya kuhakikisha umeondoa vyakula hatarishi ambavyo ni chanzo cha kuvurugika kwa homoni zako sasa unahitaji kuongeza vyakula bora ambavyo vitakusaidia kusawazisha homoni zako. Hakikisha unakula Zaidi vyakula vya mafuta, vyakula visivyokobolewa,
     1.       Tumia virutubisho vya omega 3, zinc , soy power capsules na pine pollen. Unaweza kufika ofsini kwetu ukapata virutubisho hivi bila kupata adha ya kuagiza nje ya nchi.
   2.       Kufanya mazoezi, mazoezi husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa matatizo kabla na baada ya hedhi. Fanya mzoezi mepesi unaypenda mfano kutembea umabali mrefu, kukimbia nk.
   3. Epuka msongo wa mawazo; Tafuta mazoezi rahisi ya kupunguza na kuepuka msongo wa mawazo kama Yoga, meditation.unaweza kusoma pia kwa kubonyeza HAPA mnimeelza njia nzuri za kupunguza na kudeal na msongo wa mawazo.
   4.       Hakikisha unapata usingizi wa kutosha walau masaa 8 mpaka 9 kila siku.
   5.       Na pia punguza ama epuka kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe na vidonge

MUHIMU
Kwa wagonjwa wote wanaofika ofsini kwangu huwa nawashauri kufanya utoaji wa sumu kwenye mwili kabla ya kuanza kurekebisha chakula na lishe kwa ujumla. Faida ya kutoa sumu ama detoxification ni kuondoa uchafu na kemikali sumu zilizopo kwenye mwili na hivo kuruhusu mifumo kufanya kazi vizuri. Vyakula na vinywaji tunavyokula huchangia sumu nyingi kwenye mwili na hivo kupeleka kuvurugika kwa mpangilio wa homoni.

TAFITI ZINASEMAJE KUUSU TIBA ZA MIMEA (traditional medicine).
1. Zinc capsules
Kwa wanawake, MADINI YA ZINC yanahusika katika ukuuaji wa yai (oocyte). Kama mwanamke atakuwa na upungufu wa zinc, yai halitakomaa vizuri na utolewaji wa yai (ovulation) utazuiliwa , na kusababisha ugumba. Kiwango cha zinc cha kutosha kunamwezesha mwanamke kutumia estrogen na progesterone vizuri na hivo kupusha matatizo kama maumivu wakati wa tendo la ndoa, na hokosa hamu ya tendo la ndoa. hakikisha unapata virutubisho kutoka kwenye vyanzo vilivyothibitishwa.
2. Soy capsules
vidonge hivi vilivyotengenezwa kiasili kwa kutumia viambata vya mimea ya Semen Glycine, Radiz Paeoniae Alba Eztractum na Ganoderma husaidia: kuongeza ufanyaji kazi wa mfuko wa mayai (ovaries), kuzuia Saratani ya matiti, kuimarisha afya ya mifupa kwa wanawake waliokoma hedhi.(menopause). 

Jaribu Complete Female Care Package yetu ambayo inagarimu sh 150,000/= tu .  Hapa tutakupatia  virutubisho  vya asili viwili vinavyotumika kwa mda wa week 4. Vitakuacha mwili ukiwa safi bila sumu na homoni zako zimesawazishwa. Kisha utafurahia tena tendo la ndoa kama zamani.
Tunapatikana Mwembechai Dar salaam. Kwa wale wa mikoani msipate hofu tutawatumia dawa. .


Tiba yetu kuimarisha hamu ya tendo la ndoa na uteute ukeni ni Tsh 150,000/=



Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60...

Kisonono ni nini ?, je kuna Tiba ya kisonono ?

Nini maana ya kisonono, je naweza kupata tiba sahihi ya kisonono?  Soma makala jii upate kujifunza na kupata ueewa juu ya tatizo la kisonono ambalo limeathiri watu wengi sana kwa sasa hasa vijana wa kiume. Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake. Nnini husababisha kinonono au Gonorrhea?? Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Na hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uza...

JINSI YA KUGUNDUA NA KUTHIBITI VIDONDA VYA TUMBO( PEPTIC ULCER)

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Tunashukuru kwa kuendelea kufatilia makala zetu, kwa maoni na ushauri ama uhitaji wa kufika ofisini basi endelea kutuandikia kwa namba  0714206306 .  Kupata ufahamu mpana juu ya vidonda vya tumbo ni vema kuelewa kwanza mfumo unaohusika na tumbo ambao ni umen'genyaji wa chakula. Sehemu kuu zinazohusika katika umen'genyaji huo ni kinywa,umio ambayo ni misuli wenye urefu wa sentimeta 23 ambao huunganisha koromeo na tumbo'esophagus',mfuko wa nyongo na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo'duodenum',utumbo mdogo,kongosho,utumbo mpana na sehemu ya mwish oni ya utumbo'rectum'. Mfumo wa mmen'genyo wa chakula hasa kuta za umio,tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na tindikali inayotumika kumen'genya chakula inaposhambulia kuta hizo, hii ndiyo vidonda vya tumbo'Peptic Ulcers',vidonda vya mfumo wa umen'genyaji chakula vikiwa kwenye tumbo ni 'Gastric Ulcer'vikiwa kati...