Skip to main content

TIBA NA USHAURI KUHUSU PUMU (ASTHMA)

Habari njema Kwa wale wote wanaosumbuliwa na pumu kwani suluhusho la matatizo yao limepatikana, Ni muhimu  tufahamu huu ugonjwa ili tuweze kujikinga na kuwashauri ndugu zetu wenye matatizo haya wapate dawa hiyo,

PUMU AU ASTHMA NI NINI

~pumu au asthma ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu,
~ugonjwa huu wa pumu hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kias cha hewa kinachoingia na kutoka katika mapafu, Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio kama wa filimbi au mluzi wakati wa kupumua pia kubanwa na kifua, kushindwa kupumua vizuri na kukohoa sana,, watu wenye pumu Mara nyingi hupata Dalili hizo wakati wa usiku na asubuhi sana.

~ugonjwa huu huwaathiri watu wa Rika zote ingawaje Mara nyingi huanza utotoni hivyo huwaathiri Zaidi watoto, inasadikika kuwa takribani watoto MILION Sita nchini na watu wazima takriban 255,000 Duniani wanaugua ugonjwa huu,
~ugonjwa huu wa pumu ni mpana sana kwasababu Kuna aina nyingi za pumu kutokana na visababishi vake

AINA ZA PUMU

(1)PUMU YA UTOTONI (CHILD_ONSET ASTHMA)

hii ni aina ya pumu inayotokea baada ya mtoto kuwa Kwenye Vizio kama vile VUMBI LA WADUDU KAMA MENDE, MANYOYA YA WANYAMA KAMA PAKA, MBWA PIA KUTUMIA BABY WIPES ZENYE HARUFU (PERFUME)
pumu hii hutokea kwa kuwa mwili wa mtoto hutengeneza Kinga ya mwili (ANTIBODIES) zinazosababisha pumu.
Ugonjwa wa pumu ni sugu sana kwa watoto wanaozaliwa na uzito mdogo wenye asili ya kiafrika pia pumu ya utotoni huwaathiri Zaidi watoto wa kiume Zaidi

(2)PUMU YA UKUBWANI (ADULT_ONSET ASTHMA)

~pumu hii huanza baada ya kufika miaka 20, pumu hii huwaathiri sana wanawake kuliko wanaume na pia haitokei sana kama pumu ya utotoni, Vizio kama vile perfume /cream zenye harufu kali /sabuni nk ndio husababisha pumu hii kwa asilmia kubwa

(3)PUMU ITOKANAYO NA MAZOEZI (EXERCISE INDUCED ASTHMA)

Pumu hii huwatokea Zaidi wanaofanya mazoezi, ikiwa utakohoa na kukosa pumzi wakati wa mazoezi au baada ya mazoezi kuna uwezekano wa wewe kuwa na pumu ambayo inasababishwa na mazoezi pia hata kama sio mwana mazoezi kukimbia kwa kasi angalau dk 10 Kunaweza kusababisha kukosa pumzi kwa muda mrefu na kuonyesha kwamba una pumu

(4)PUMU ITOKANAYO NA KUKOHOA SANA (COUGH INDUCED ASTHMA

hii ni aina ya pumu ambayo ni ngumu sana na kuumiza vichwa vya madaktar kuigundua kwasababu katika pumu hii inawezekana isitokee hata Dalili zingine Zaidi ya kukohoa kitu ambacho madaktari wanalazimka kuchunguza sababu nyingine za kukohoa sana na kuhakiksha sio zinasababishwa na kukohoa huko.

(5)PUMU YA USIKU (NOCTURNAL ASTHMA)

pumu hii hutokea Kati ya saa Sita usiku na saa mbili asubuh, pumu hii huamshwa na vumbi la wadudu rangi ya nyumba, na harufu ya gesi pia Mara nyingi wagonjwa wa pumu hii hushtuka usingizini wakati wa usiku wa manane baada ya kukosa pumzi

(6)PUMU KALI ISIYOKUBALI DAWA (SEVERE ASTHMA)

wakati wagonjwa wengi wanapata unafuu baada ya kupata steroid wachache hawapati unafuu na hvyo kuhitaj matibabu makubwa Zaid

(7)PUMU YA NGOZI (ECZEMA /ATOPIC DERMATITIS)

Huenda utashangaa kwamba kuna pumu ya ngozi na ipoje sasa majibu yako yote yamepata majibu, naomba ufahamu kwamba neno ECZEMA ambalo ni neno la kigiriki na linamaanisha KUTUTUMUKA SEHEMU YA NNJE YA NGOZI hali ambayo huonekana pale mtu anapopata maradhi haya
~ugonjwa huu huchangia asilmia 40 ya maradhi yote ya ngozi kwa ufup huu ugonjwa huwapata Zaidi watoto na tatzo hil limekua likiumiza vichwa vya madaktar na wanasayansi wengi kutokana na kwamba haijajulkana sababu maalum, ugonjwa huu ni wa muda mrefu nikimaanisha kwamba mtu huweza kukaa na ugonjwa huu kwa muda mrefu ingawa si muda wote mwil huonyesha dalil za ugonjwa huu

CHANZO CHA UGONJWA WA PUMU

Visababishi vya pumu havijulkani waziwazi ila vitu vinavyochangia pumu ni vizio mfano Moshi wa sigara, bangi, gesi, perfume, kuwa na msongo wa mawazo, kuogea maji ya moto kila wakati, kutokupaka mafuta, kukaa kwenye vumbi, kuvaa mavazi yasiyo ya pamba,

DALILI ZA PUMU

NOTED :sio watu wote wenye Dalili hizi wanapumu na sio wote wenye pumu Wana Dalili HIZI
1. Kukohoa~kikohozi huwa kikali wakati wa usiku na asubuhi
2. Kutoa sauti kama mluzi wakati wa kuongea

3. Kubanwa na kifua hasa nyakati za jioni na asubuhi sana
3. Kupungukiwa pumzi
4. Sehemu ya ngozi iliyoathiriwa huwa inatutumka
5. Maeneo yenye atharikubwa yanavimba na kuwa na joto
Muwasho wa ngozi huwa mkali wakati wa jioni na usku


MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA PUMU

Matibabu ya ugonjwa kwa hospital yapo ya aina mbili moja ni Ile ya dharura ili kutoa tu msaada, dawa hii ni zile zinazosaidia kutanua njia ya hewa ambazo zimesinyaa (Bronchopdilators) pia husaidia kulainisha misuli ya njia za hewa iliyosinyaa, aina ya pili ya matibabu ni kutumia dawa za steroid za kuvuta (inhaled corticosteroids)
 ila kwa kawaida matibabu haya huwa chanzo cha matatizo mengine kutokana na kwamba dawa hizo ni za kemikal hivyo huwa si nzur kwani hazimalizi tatizo Zinampa mtu unafuu tu, pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kuzuilika  kwa kuepuka kutumia vitu vyenye mzio ambavyo ni PERFUME, SABUNI ZENYE HARUFU KALI, RANGI ZA NYUMBA, KUACHA KUVUTA SIGARA NA BANGI, ACHA KUNYWA POMBE, EPUKA KUVUTA VUMBI LA WANYAMA, NA EPUKA KUKAA MAZINGIRA YENYE UNYEVU.


MAFUTA YA LAVENDER NA PEPPERMINT KUTIBU PUMU





Mafuta ya levender yatakusaidia


Kuongeza kinga za mwili; kupunguza makali ya brochitis sugu, pumu na mzio
Kuua vimelea wabaya kwenye mfumo wa hewa
Kupunguza msongo wa mawazo na kuimarisha usingizi na 
Kuondoa maumivu ya kichwa 

Yafaa sana Kutumika Kwa:

Watu wenye brochitis sugu, pumu, mzio au matatizo mengine ya mfumo wa upumuaji
Watu wenye kukosa usingizi na 
Watu wenye msongo wa mawazo

Tiba yetu asili ya Pumu ni Tsh 60,000/=



Bofya hapa kuchati na muhudumu kwa Whatsapp kuagiza mafuta ya levender

kupata huduma ya dawa na virutubisho ili kutibu tatizo la pumu. 
OFISI ZETU ZIPO DAR, Magomeni Mwembechai 

Gharama ya dawa na virutubisho ni Tsh 60,000/= 

Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60...

JINSI YA KUGUNDUA NA KUTHIBITI VIDONDA VYA TUMBO( PEPTIC ULCER)

MAELEZO YA UTANGULIZI KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Tunashukuru kwa kuendelea kufatilia makala zetu, kwa maoni na ushauri ama uhitaji wa kufika ofisini basi endelea kutuandikia kwa namba  0714206306 .  Kupata ufahamu mpana juu ya vidonda vya tumbo ni vema kuelewa kwanza mfumo unaohusika na tumbo ambao ni umen'genyaji wa chakula. Sehemu kuu zinazohusika katika umen'genyaji huo ni kinywa,umio ambayo ni misuli wenye urefu wa sentimeta 23 ambao huunganisha koromeo na tumbo'esophagus',mfuko wa nyongo na sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo'duodenum',utumbo mdogo,kongosho,utumbo mpana na sehemu ya mwish oni ya utumbo'rectum'. Mfumo wa mmen'genyo wa chakula hasa kuta za umio,tumbo na utumbo mwembamba hupata mmomonyoko ambao husababishwa na tindikali inayotumika kumen'genya chakula inaposhambulia kuta hizo, hii ndiyo vidonda vya tumbo'Peptic Ulcers',vidonda vya mfumo wa umen'genyaji chakula vikiwa kwenye tumbo ni 'Gastric Ulcer'vikiwa kati...

Kisonono ni nini ?, je kuna Tiba ya kisonono ?

Nini maana ya kisonono, je naweza kupata tiba sahihi ya kisonono?  Soma makala jii upate kujifunza na kupata ueewa juu ya tatizo la kisonono ambalo limeathiri watu wengi sana kwa sasa hasa vijana wa kiume. Kisonono au kwa lugha ya kitaalamu Gonorrhea ni moja ya ugonjwa wa ngono ambao huambukizwa baada ya mtu mmoja mwenye ugonjwa kukutana kimwili mtu mwingine mzima. Kisonono mara nyingi husababisha maumivu makali na dalili zingine mbaya kwenye via vya uzazi na sehemu zingine kama, sehemu ya haja kubwa, macho na pia maumivu ya viungo. Ugonjwa huu wa kisonono huweza kuwapata watu wa jinsia zote wanawake kwa wanaume huku tafiti zikionesha kwamba wanaume ndio wanaoongoza kuambukizwa kuliko wanawake. Nnini husababisha kinonono au Gonorrhea?? Ugonjwa huu wakuambukizwa kwa njia ya ngono husababishwa na bacteria wanaoitwa Neisseria gonorrhoeae. Na hivo pale watu wanapokutana kingono bacteria hawa huweza kusambaa kwenda kwa mtu mwingine kutokana na msuguano wa viungo laini vya uza...