Skip to main content

HATUA TANO ZA KUZUIA NA KUTIBU SARATANI (KANSA)

Utajiskiaje endapo siku moja umeenda hospitali ukagundulika una saratani,??.
Ni swali ambalo watu wengi hujiuliza, maana nimeshuhudia watu wengi wakipata shida juu ya tatizo hili. Madaktari watakwambia una kansa ya ini, utumbo, mapafu ama kizazi, lakini hawakwambii nini kimekufikisha kwenye tatizo husika, hivo tiba ya kisasa italenga moja kwa moja katika kutibu dalili ya kansa kama kuukata uvimbe kabla haujaenea sana, kuchoma uvimbe kwa kutumia mionzi, ama kutumia madawa makali katika kudhoofisha uvimbe wa saratani. Lakini je ulishawahi kujiuliza nini chanzo kikubwa cha tatzo hili ambalo linamaliza maisha ya wapendwa wetu kila siku.??
Tiba asili ama functional medicine inahimiza kwa mgonjwa na dactari kukaa pamoja na kuchunguza nini vyanzo vya ugonjwa. Hivo kwa kusuluhisha chnazo basi tayari unakuwa umetibu matokeo ambayo ndio dalili za ugonjwa. Hivo kwa upande wa tiba asili, mwili ni kama bustani ama shamba nzuri. Shamba hili lisipotunzwa vizuri basi magugu yataanza kuota na kumea.
Tiba ya mionzi na kukata sehemu ya mwili iliyoathiriwa na saratani siyo mbaya, lakini pia ni muhimu mgonjwa kufahamu njia sahihi za kujikinga ama kuzuia tatizo lisirudi tena.


                                 picha ikionesha seili a saratani (kijani) na seli za damu (nyekundu)

KUTUNZA SHAMBA yaani mwili wako ni sheria ya kwanza katika kukinga mwili dhidi ya saratani
Tafiti zinaonesha kwamba kuna vitu vingi ambavyo tuviweka kwenye kundi la vihatarishi vinavyowea kupelekea sararatani, mfano aina ya lishe, ukosefu wa mazoezi, msongo wa mawazo, sumu kwenye mazingira, vyote vinaweza kuchochea ukuaji wa saratani.
Hapa utagundua kwamba ili mmea ama mifumo yako ya mwili ikiwemo viungo kama moyo, figo nk viweze klufanya kazi vizuri basin i lazima pawepo na maingira salama kwenye shamba ama mwili husika wa binadamu, vinginevyo hapatukuwa na usawa na ndipo magonjwa kama saratani yataanza kuibuka.
Sasa kumbe tunaweza kuimarisha kinga ya mwili na kuwa makini kwenye vyakula tunavyokula, tukabadilisha mtindo wa maisha ukawa siyo wa kutegemea vyakula vya viwandani.pia tunaweza kuimarisha uwezo wa mwili kundoa sumu, na kuweka uwiano katika vichocheo ama homoni, na pia kuhakikisha tunakuwa fikra chanya mda mwingi tukaonoa msongo wa mawazo na hivo kutengenea maingira ya hisia nuri za mwili.
Saratani ama kansa ni matokeo ya kuwa na uwiano mbaya kwenye mifumo yetu ya mwili na hivo kupelekea kinga ya mwili kushindwa kupambana na seli hizi. Seli za saratani huanza zikiwa ndogo sana lakni miili yetu iliumbwa kupambana na magonjwa , hivo ni muhimu mwili kupaliliwa na kuwekewa virutubisho vya kuusadia uendelee kupambana na seli hizi za kansa kabla hazijaleta madhara.

Ifuatao ni hatua tano ambazo unaweza kuzitumia kuzuia saratani, ama kama tayari umeugua basi itakusaidia kuzuia kuenea kwa seli za saratani ndani ya mwili.
1.ACHANA NA SUKARI
Sukari husaidia kukua haraka kwa seli za saratani, na pi kukufanya kuwa na uzito mkubwa na kitambi., kisukari kinaathiri zaidi ya watu bilioni 1.7 duniani. Unaweza kusoma makala yangu inayoeleea jinsia uito mkubwa na kitambi unavyopelekea hatari ya kupata saratani kwa kubonyeza hapa.
Punguza matumizi ya vyakula vya wanga na sukari, pia vilivyosindikwa na badala yake tuwa kiasmia zaidi vyakula vya mafuta, asili na visivyosindikwa.
2.EPUKA VYAKULA VINAVOLETA MZIO AMA ALEJI
Viambata kama glutein vinavyopatikana kwenye nafaka za ngano kwa kiasi kikubwa, vinapoingiau kwenye utumbo hupelekea kulegea kwa ukuta wa tumbo unaohusika na uvyonzaji wa chakula, hapa nataka uelewe kwamba katika mfumo wa chakula, sehemu panapofanyika uvyonzaji wa virutubisho hitwa small intestine ama utumbo mwembamba, hivo basi siyo kila kitu huruusiwa kupita hapa kwenda kwenye mfumo wa damu. Sasa kuta za utumbo ni kama chekecheke ambalo liazuia baadhi ya vitu hatari kupita kwenda kwenye damu, endapo chekecheke hili likiwa na matobo makubwa ndipo sumu na protin kubwa kama glution hupenya kuelekea kwenye damu. Na hapo mwili utaitikia kama adui kaingia hivo kupeleka askari wengi mahali husika kushambulia, sasa mashambulizi ya mara kwa mara hupelekea mahali huiska kututumka na kuvimba.
Saratani nyingi hutokana na hitilafu kwenye mfumo wa chakula unaoletekezwa na lishe mbaya, hakikisha unapunguza kiasi cha protini kwenye mlo wako, badala yake tumia vyakula salama vya mafuta kama mayai ya kuku wa kienyeji, nyama kutoka kwa mnyama aliyekuzwa kwa kula majani na siyo nafaka, parachichi, na nazi. Tumia pia mafuta ya omega 3 kwa wingi kutoka kwenye vyanzo kama samaki ama unaweza kupata virutubisho hivi vya asili kutoka kwenye vyanzo sahihi.
4.MAZOEZI IWE NI KITU CHA LAZIMA
Kwa ujumla mazoezi hupunguza kasi ya utolewaji wa homoni ya insulin na hivyo kutengeneza mazingira hafifu ya uwepo wa sukari kwenye mwili, na hivo sukari ikiwepo kidogo hupinguza kasi ya kuenena kwa seli a kansa. Utafiti ulowahi kufanyika umeonesha kwamba mazoezi mfululizzo kwa miezi mitatu yanasaidia kuimarisha kinga ya mwili inayopambana na seli za kansa/saratani.
5.PATA USINGIZI WA KUTOSHA NA KUJIEPUSHA NA mazingira hatarishi yanayopelekea kuugua ugonjwa wa saratani, mazingira haya ni kama mionzi kutoka kwenye vifaambalimbali kama matumizi makubwa ya simu, tv, kemikali zinazotokana  na dawa za kuua vimelea kwenye mimea na wanyama.
UTAFITI WA MIMEA UNASEMAJE KUHUSU TATIZO LA KANSA
Nchi kama china na Vietnam zinasifika kwa kuzalisha kwa wingi mimea mbalimbali ambayo imekuwa ikisaidia kutibu kansa stage ya kwanza na kusaidia kuzuia kusambaa kwa seli za kansa. Hivo gharama zake imekuwa kubwa sana ukiingatia mimea hii haipatikani hapa Africa. mimea hii ni kama
1.      GINSENG, mmea huu husaidia
·        kuongeza kiwango cha seli nyeupe za damu ambazo hupambana na seli a kansa, rejea hapo juu nlipoandika uhusiano wa kinga yako na kukua kwa seli za saratani.
·        Pia mmea huu husaidia kharakisha uponaji wa vidonda na kutibu saratani ya awali.
2.      CORDCEP SYNESIS husaidia
·        Kuimarisha kinga ya mwili na hivo kuzuia mashambulizi ya mwili ya mara kwa mara
·        Kupambana na seli za kansa
·        Huimarisha ufanyaji kazi wa figo, ini na mapafu na
·        Kuongeza nguvu kwa wale wanaopata ganzi mara kwa mara.
3.      GARNODERMA, mmea huu husaidia
·        kuimarisha kinga ya mwili na hivo kuzuia saratani.
·        Kupunguza athari zinazotokana na tiba ya mionzi na madawa makali (radiotherapy na chemotherapy)  nahivo kukupunguzia adha mablimbali  kama kutapika, maumivu, kupungua kwa nywele, na ganzi ya mara kwa mara. Hivo unaweza kuendelea na dozi ya hospitali huku ukitumia dawa zetu pia.
·        Kuongeza uwezo wa kinga ya mwili, na kusaidia wenye aleji na magonjwa ya mfumo wa hewa kama pumu na hivo kukuwezesha  kurahisisha upumuaji.

JARIBU PACKAGE YETU YA NATURAL CANCER CARE Ugundue nguvu iliyopo ndani ya mimea hii ya ginseng, ganoderma na ccordceps, mimea hii tayari ipo kwenye mfumo wa vidonge. Baada ya kuagiza kutoka nje na kuvifanyia utafiti tunaleta kwako ili urudishe matumaini ya kupona tatizo lako la kansa tofauti na ulivoambiwa kwamba kansa haitibiki.
Kama upo Dar es salaam tunapatikana maeneo ya Mwembechai fika tutakuhudumia, kisha utapata kadi maalumu ya utambulisho ambayo itakusaidia kupata huduma zetu kwa gharama nafuu na punguzo la 25% siku zote.

Package yetu ya saratani ni Tsh 250,000/=

Kama upo mkoani basi usipate shaka, tutakutumia huduma ya dawa baada ya kufanya malipo popote ulipo.

HITIMISHO                                                                                              
Kama aumeshagundulika na saratani ama ndugu yako wa karibu ama mtu wa familia yako, nataka nikupe moyo kwamba huhitaji kuogopa maana
Saratani inatibika endapo ukiwahi mapema, na pia unaweza kuzuia kusambaa kwa saratani endapo tu utapata tiba sahihi, fahamu tu kwamba kuna njia ambazo unaweza ukazitumia kuimarisha afya ya mgonjwa husika na pia ukafanya kazi zako kama kawaida.hivo usiifikirie kansa kama kitisho anza kuwa na mtazamo tofauti na cha msingi zaidi usipoteze tumaini.

Comments

Popular posts from this blog

KUTOKWA NA UCHAFU UKENI, CHANZO NA TIBA YAKE

Uke wa mwanamke hufanya kazi ya kutoa njia kati ya sehemu ya nje ya mwili na viungo vya uzazi vya ndani vya mwanamke. Hali ya kawaida ya majimaji yaliyomo katika uke wa mwanamke huwa ni ya tindikali ili kuzuia maambukizi ya vijidudu wa kuleta maradhi. Hali hii ya utindikali huletwa na bacteria waishio katika uke wa mwanamke. Bacteria hawa ni wa kawaida na hawana madhara kwa mwili. Uke ulio katika hali nzuri hutoa majimaji haya ili kujisafisha. Majimaji haya yanayotengenezwa katika uke na kwenye eno la cervix hufanya kazi ya kuondoa seli zilizokufa na bacteria waharibifu nje ya mwili na huu ndio uchafu wa kawaida ambao mwanamke hutoa ukeni. Kutoa uchafu huu sehemu za siri ni njia ya kuusafisha uke na kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kitu cho chote ambacho kitaharibu uwiano wa utengeneaji wa majimaji haya ndani ya uke kinaweza kujenga mazingira ya maambukizi katika uke. Uchafu Wa Sehemu Za Siri  Wa Kawaida Wanawake wote hutoa uchafu sehemu za siri. Kiwango cha uchafu unaotoka, ra

JINSI YA KUONGEZA UFANISI WA VICHOCHEO VYA KIUME (TESTOSTERONE) NA KUKINGA DHIDI YA MATATIZO YATOKANAYO NA KUKUA KWA TEZI DUME KWA KUTUMIA VYAKULA HIVI VI 5

Maelezo ya utangulizi. Kichocheo cha testosterone, japo huusishwa zaidi na upande wa mwananume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanamme pia.kadiri umri unavoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testerone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kunaambatana na ukuaji wa tezi dume (prostate gland),kupotea kwa nywele na pia saratani mfano saratani ya tezi dume. .KAZI KUBWA YA KICHOCHEO HIKI NI KUONGEZA MSUKUMO NA HAMU YA TENDO LA NDOA , KUIMARISHA MISULI NA MIFUPA MWILINI. NINI KINAHITAJIKA ILI KUZALISHA KICHOCHEO CHA TESTOSTERONE? Ili kuhakikisha uzalishaji wa kichocheo cha kiume unafanyika, mwili unahitaji virutubisho au viini lishe mbalimbali, baadhi ya viini lishe hivyo ni madini ya ZINC na vitamin D3,  vitamini D inaweza kuzalishwa na mwili pale ngozi yako inapokutana na mwanga wa jua, hapa nazungumzia mwanga wa asubuhi wakati jua ndo linachomoza na pia lile jua la jion karibia na kuzama, hivyo utakubaliana na mimi kuwa wengi wet

MADHARA YA PUNYETO NA TIBA YAKE

MAELEZO  YA AWALI KUHUSU TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto. Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba "kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu" Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu. Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60